Hakuna anayechachawa. Ila kuwaamuru wawakilishi wa wanwnchi wajitoe hiyo ni dhulma kubwa wanafanua na wataadhibiwa tena 2025Mlikuwa mnatuaminisha kuwa upinzani ndio unaochelewesha maendeleo, hata mwenyekiti wenu alituasa tusichanganye betri na magunzi. Sasa mbona mnachachawa tena pale mnapotaka kuachiwa bunge wenyewe?
Kiumbe mweusi katika ubora wake!!! Halafu kwa akili kama hizi pale wazungu wanapohoji uwezo wetu wa akili tunakuwa wakali!!!!Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.
Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.
Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.
Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Kuna mbunge hata mmoja wa ccm anayewawakirisha wananchi??! Au ni matakwa ya bwana yule!! Ila history ni mwalimu mzuri sana!! Sasa ni zamu ya jini mliyemfuga kuanza kuwala wenyewe!!! Ni suala la muda tu!!Hakuna anayechachawa. Ila kuwaamuru wawakilishi wa wanwnchi wajitoe hiyo ni dhulma kubwa wanafanua na wataadhibiwa tena 2025
Aliyekataliwa na wananchi MNA sababu gani ya kumwibia kura? Hivi wewe mbona unakuwa mpumbaf wa kiwango hicho?Wapinzani wamejiondoa wenyewe. Wamekataliwa na Wananchi
Sawasawa. Kama Mungu aishivyo nakuhakikishia huu ndo mwanzo wa mwisho wa Ccm na sio chadema. Maandamano ya amani yaanza nchi nzima jumatatuMwaka huu mtaimba sana wimbo kwa kupokezana, ila ni lazima chadema ifutwe iwe kwa busara au kutumia nguvu.
Nyie lazima dawa ieaingie tu, si mlijifanya mnajua sana kuongea na kutukana??
Aida Ameshinda Kama walivyoshinda wagombea wengi wa Chadema akiwemo Tundu Lissu. Lililofanyika ni vyombo vya usalama kuiamrisha NEC kuwaachia Chadema jimbo aliloshinda Aida tu. Sasa kwa sababu hatuwezi kuhalalisha ujinga na upuuzi tunasema uchaguzi urudiwe upya na maamuzi ya wananchi yaheshimiweKwa hiyo hamuamini kama Aida kashinda?
Na sasa ndiyo kifo cha CCM kinakuja, baada ya hilo bunge la chama kimoja. Watakosa wa kumrushia ngumi watarushiana wenyewe na mpasuko utatokea utakaokiua chama. Muda wa kifo kwa CCM umefika.Kwangu mimi huu ndio uamuzi kwa sasa tena wa busara sana.... Kuna haja ya watanzania kuuhitaji upinzani sio wapinzani wachache kuwalilia watanzania wasiojielewa..... Tena ikibidi waache kujihusisha na siasa kabisaaa tuone hayo maendeleo CCM tuliyokua tunayaimba na yakakwamishwa.....
Ili CCM itoke inahiji maamuzi collective ya watanzania na si watu wacheche waliojitoa kupambania wengi.... CCM DAIMA
Wakiadhibiwa tena 2025 ni vema kwa CCM iendelee kubaki yenyewe bila hawa wanaokwamisha maendeleo.Hakuna anayechachawa. Ila kuwaamuru wawakilishi wa wanwnchi wajitoe hiyo ni dhulma kubwa wanafanua na wataadhibiwa tena 2025
Sawa Sasa wanataka kujadili Nini tena? Kama wao wameshindwa wamwache huyo mama atekeleze wajibu wake maana aligombea hawakumzuia na Mbowe hakuzuiwa, ina maana Mbowe angeshinda angesusa?Kumbe hatavwewe haujui wabunge wa viti maalum wanapatikanaje? Hakuna uwezekanonwa chama chochote zaidi ya ccm kupata viti maalum
Unaacha kuona kifo Cha chadema unaona kifo Cha CCM kweli mwaka huu mmevurugwa.Na sasa ndiyo kifo cha CCM kinakuja, baada ya hilo bunge la chama kimoja. Watakosa wa kumrushia ngumi watarushiana wenyewe na mpasuko utatokea utakaokiua chama. Muda wa kifo kwa CCM umefika.
Itapendeza zaidi ili bunge liwe la CCM 100% wajadili vizuri maendeleo ya wananchi. Nadhani hata bunge sasa litakua live kwa sababu waliokua wanawasumbua sasa hawapo.Itakuwa hivi: Wakijitoa hao walioshinda ubunge wataamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea tena...the rest is history!!
Chadema na vyama vingine vinakufa. Baada ya hapo CCM pia inameguka na kupatikana vyama viwili ndani ya kimoja. Hapo ndipo upinzani wenye nguvu utakapoanza na kuua kabisa jina la CCM. Angalia mfano wa KANU iko wapi?Unaacha kuona kifo Cha chadema unaona kifo Cha CCM kweli mwaka huu mmevurugwa.
Lakini mbona mnateseka sana na huyo dada? Huyo dada alikuwa mbunge wa cdm bunge lililopita haitaji kufundishwa na wanaccm wala chadema afanye maamuzi gani. We relaxy akifanya uamuzi taarifa utazipata.Sawa Sasa wanataka kujadili Nini tena? Kama wao wameshindwa wamwache huyo mama atekeleze wajibu wake maana aligombea hawakumzuia na Mbowe hakuzuiwa, ina maana Mbowe angeshinda angesusa?
Wewe uliambiwa huyo Aida ndiyo aliwazidi hao wapinzani mbinu..?Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida!
Tuliyajua haya mapema. Hakuna wanachojadiliana tukashindwa kukifahamumbunge wa Nkasi acha kupoteza wakati na watu wasiojielewa kapige kazi bungeni chukua mshahara wako hudumia familia yako. Usikubaliane na watu walioshindwa. Fanya kazi
Tatizo Nini Hadi Mara hi mnakuwa na chuki na mbunge wenu? CCM hatuhitaki upendo na wabunge wa Chadema ndo maana tunashangilia mlivyotembezewa kichapo ila tunashangaa baada ya kipigo toka CCM Sasa mnaanza kutembezeana kichapo wenyewe kwa wenyewe.Lakini mbona mnateseka sana na huyo dada? Huyo dada alikuwa mbunge wa cdm bunge lililopita haitaji kufundishwa na wanaccm wala chadema afanye maamuzi gani. We relaxy akifanya uamuzi taarifa utazipata...