Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kutangaza kujitoa kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani walizoshinda

Kuna haja ya kuwapa ulinzi ndugu zetu hawa waliofanikiwa kushinda nafasi hizo kupitia vyama vya upinzani. Kwa sababu viongozi wa vyama vyao vinaweza kuwadhuru ili watimize malengo yao ya kibinafsi dhidi ya maamuzi ya wananchi waliowachagua wawakili hawa. Serikali ilichukue hili kwa uzito mkubwa.

Na sisi wananchi tuna sema chochote kitakachwapata wateule hawa tutawabebesha mzigo huo viongozi wa vyama vyao!!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.

Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.

Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.

Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Sasa furaha ya ccm itatimia. Au siyo?
 
Unahisi kati ya hao wanaojitoa na wewe unayeshabikia huu udhalim nani anafaida zaidi? Pamoja na mapungufu ya upinzani lakini kwa mwananchi wa kawaida anahitaji zaidi uwakilishi wa upinzani bungeni kuliko uwakilishi wa CCM, CCM ipo tangu uhuru na wapinzani wapo bungeni tangia 1995, ni nani amechelewesha maendeleo ya nchi hii, nani ameliingiza taifa hili katka mikataba ya ovyo kama EPA, RICHMOND na MEREMETA? Hao CCM unaoshangilia kwenda bungeni kwa asilimia mia 99, hawatokuwa na lolote la kumsaidia mwananchi wa kawaida zaidi ya kugonga meza na kusubiri posho na miaka mitano ikiisha wachukuwe milioni mia mbili za mafao yao,
Wakati wewe na mimi tunasubiri miaka 60 ya kustaafu kwa lazima hata kama tutaacha kazi leo, milioni moja ya leo itakuwa na thamani ya milioni moja ya miaka hamsini ijayo?
Huyu mbunge mmoja ndo atakuwa KBU, ndo atakuwa waziri kivuli wa wizara zote? Na kama atakubali kwenda bungeni basi atakuwa amekubaliana na dhuluma walizofanyiwa wenzake na kabla ya miaka mitano atajivua uanachama wa Chedema na kuchukuwa uanachama wa CCM na kugombea tena, kifupi endapo ataingia Bungeni Chadema wasimhesabu kama wenzao.
Mwisho wa yote mimi binafsi niseme wapinzani siwadai chochote mmefanya kazi yenu vizuri kabisa. Kaeni pembeni tusubiri maendeleo ya CCM wakati kuna majimbo hayajawahi hata kuona bendera ya Chadema au ACT lakini ukifika huko utafikiri uko vijiji vilivoko bembezoni ya mji wa Ben huko DRC. viko kama vinatawaliwa na waasi lakini vinawabunge wa CCM tangu uhuru na wakishapita kwenye kura za maoni kwenye chama chao wanapeleka picha tu na wanashinda uchaguzi.
 
Wivu tu unawasumbua, yaani kwa kuwa viongozi wao hawajapata nafasi basi wanaona bora wakose wote
Mlioshinda msijitoe
 
Mbowe angeshinda angejitoa??

Swali fikirishi, ila pamoja na magumashi yote ya tume na serikali mtu aliyeua upinzani ni Mbowe! kususia ndiko ccm inaomba usiku na mchana watakuwa wamewarahisishia kazi wasiposusia watashawishiwa waunge juhudi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.

Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.

Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.

Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii

Wewe unafikiri vyama vikishafutwa binafsi utafaidika na nini?? Au unadhani vyama vikifutwa wananchi mtaanza kulipwa mishahara!! wenye akili hawafurahii hiki kinachoendelea wakiwemo ccm wanaojitambua lkn nyie viherehere ndo mnakenua mpaka magego kufurahia huu upumbavu uliofanywa na huyu muhutu.
 
Afu eti wanahubiri demokrasi, hovyo kabisa hawa
 
Vikiwepo wewe unafaidi nini? Hakonkacheo cha bavicha?
Wewe unafikiri vyama vikishafutwa binafsi utafaidika na nini?? Au unadhani vyama vikifutwa wananchi mtaanza kulipwa mishahara!! wenye akili hawafurahii hiki kinachoendelea wakiwemo ccm wanaojitambua lkn nyie viherehere ndo mnakenua mpaka magego kufurahia huu upumbavu uliofanywa na huyu muhutu.
 
Mwaka huu bavichaa mtajua hamjui.
Hakuna ruzuku, tuone hiko chama kitafika wapi.
Chadema ni lazime ife

Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

Idiot kabisa wewe, watu wana chukua ushindi kwa bunduki alafu unasema uongozi ujitathimini!! hizi huwa mnawaza kwa kutumia nini nyie viumbe wenzetu?
 
Mwaka huu bavichaa mtajua hamjui.
Hakuna ruzuku, tuone hiko chama kitafika wapi.
Chadema ni lazime ife
Kuna yule Mhuni anajiita Patrick Ole Sosopi kajifanya kwenda kushindana na William Vangimembe Lukuvi. Alichokipata atasimulia
 
Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
We unafikiri figisu inayofanyika mbeya mjini ni sawa na Nkasi ?
 
CCM hamjielewi. Mlisema upinzani utakufa. Sasa mmeua upinzani kwa nguvu ya dola na wizi wa kura mnajistukia wenyewe. Wakijitoa wapinzani si malengo yenu ya kuua upinzani yatakuwa yametimia 100%? Sasa mbona kiroho kinawadunda hao wabunge kujitoa? Nini kimebadilika? Yaani inaonekana kabisa hata wabunge hao wachache mliamua wapinzani wapewe. Lo! Eti CCM sasa ina huruma na wabunge wa CHADEMAna ACT! Mmewaengua makumi kwa makuni, mamia kwa mamia wakati kabla ya uchaguzi. Wengine wakitekwa, makaratasi yao yakinyakuliwa... Leo eti mna huruma? Mashetani wakubwa nyie. Shetani hana aibu kabisa moyoni na usoni mwake!

Back
Top Bottom