Ktk vitu ambavyo Magu namkubali ni kudeal na hawa wapinzani feki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk vitu ambavyo Magu namkubali ni kudeal na hawa wapinzani feki.
Sasa furaha ya ccm itatimia. Au siyo?Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.
Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.
Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.
Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Unahisi kati ya hao wanaojitoa na wewe unayeshabikia huu udhalim nani anafaida zaidi? Pamoja na mapungufu ya upinzani lakini kwa mwananchi wa kawaida anahitaji zaidi uwakilishi wa upinzani bungeni kuliko uwakilishi wa CCM, CCM ipo tangu uhuru na wapinzani wapo bungeni tangia 1995, ni nani amechelewesha maendeleo ya nchi hii, nani ameliingiza taifa hili katka mikataba ya ovyo kama EPA, RICHMOND na MEREMETA? Hao CCM unaoshangilia kwenda bungeni kwa asilimia mia 99, hawatokuwa na lolote la kumsaidia mwananchi wa kawaida zaidi ya kugonga meza na kusubiri posho na miaka mitano ikiisha wachukuwe milioni mia mbili za mafao yao,Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.
Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.
Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.
Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Wacha wajitoe mbaki peke yenu na aibu zenu, sasa mtachekwa na dunia yote, hamna tena kichaka cha kujificha.
Good move.
Nimeamini Wananchi ni hatari zaidi ya WajumbeCCM ndo wenye Tanzania yetu. Nyie wengine ni vibaraka wa mabepari tu
Mbowe angeshinda angejitoa??
Wadau, amani iwe kwenu.
CHADEMA na ACT Wazalendo sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamevurugikiwa na akili. Kuna msemo unaosema kuwa ukiwa na hasira au furaha iliyopitiliza usifanye maamuzi yoyote makubwa. Hilo CHADEMA hawajalizingatia.
Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa pamoja na mambo mengine kwenye kikao chao cha leo pale Mtaa wa Ufipa kwenye kijibanda cha Makao Makuu ya CHADEMA wanatangaza kujiondoa kwenye nafasi zote za Udiwani na nafasi moja ya Ubunge waliyoshinda kwenye uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Tayari Mbunge wa Nkasi, KHENANI ameshawishiwa kujiondoa na amekubali na anachosubiri ni tamko la leo.
Hayo yatakuwa maamuzi mabaya sana kuweza kuchukuliwa na vyama vya upinzani. Kususa kwao uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita ndio umeleta Anguko Kuu kwenye uchaguzu Mkuu wa mwaka huu. Ni dhahiri kwamba maamuzi hayo yanaenda kuvifuta kabisa vyama hivyo kwenye ulingo wa siasa hapa nchini.
Sisi tunawachora tu kwa pembeni na tunawacheka Kwi kwi kwi kwiiiiii
Afu eti wanahubiri demokrasi, hovyo kabisa hawaWadau, amani iwe kwenu.

Wewe unafikiri vyama vikishafutwa binafsi utafaidika na nini?? Au unadhani vyama vikifutwa wananchi mtaanza kulipwa mishahara!! wenye akili hawafurahii hiki kinachoendelea wakiwemo ccm wanaojitambua lkn nyie viherehere ndo mnakenua mpaka magego kufurahia huu upumbavu uliofanywa na huyu muhutu.

Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya. Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi...www.jamiiforums.com
Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka
Kuna yule Mhuni anajiita Patrick Ole Sosopi kajifanya kwenda kushindana na William Vangimembe Lukuvi. Alichokipata atasimuliaMwaka huu bavichaa mtajua hamjui.
Hakuna ruzuku, tuone hiko chama kitafika wapi.
Chadema ni lazime ife
We unafikiri figisu inayofanyika mbeya mjini ni sawa na Nkasi ?Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !