iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuhitaji Ubunge wa Hisani toka ccm. Lkn onyo msije mkakimbilia kusema tuweni "Wazalendo kwa Nchi Yetu"hasira hasara ndiyo mjue kuwa hivyo siyo vyama mtu umehangaika kupiga kampeni umetumia garama halafu mpumbavu mmoja anakuja kukuambia ujivue ubunge uliopata karibuniccm wabunge wateule tutawarudisha tena bungeni
Hata ccm itakufa kwani itafanya siasa na nani?
Hahahaha kabisa aiceee make ccm wenyewe wameshapokonywa chama chao na vyombo vya dolaNa kamanda sirro na mabeo
Hujui lolote,nenda Mmu kule ndo saizi yakoChadema wakijitoa watakuwa wapumbavu Toka lini kususa kuliweza kuwa solution ya jambo
Unalinda kura kwa sababu kuna mwizi wa kura ambaye unamaanisha ni CCM..Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
watakaoliona hili ni wachache sana.Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya. Uongozi ni dhamana na uongozi ni matokeo ,kama uongozi wako umekosa ubunifu na unaleta matokeo yanayotishia uhai wa taasisi...www.jamiiforums.com
Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka
Thats where CHADEMA is missing the point. "mtachekwa na dunia" ooh my dear dunia haina muda wa kuangalia hayo na kucheka dunia itaendelea as if nothing happened. Watu wana issue zao zingine za muhimu. Viva MAGUWacha wajitoe mbaki peke yenu na aibu zenu, sasa mtachekwa na dunia yote, hamna tena kichaka cha kujificha.
Good move.
Usiwachonganishe. Siyo kwamba umedokezwa hilo liko bayana. Hakuna mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na uchafuzi huu.Ni hivi, nimedokezwa na Wasiri wangu wa Kuaminika ndani ya CHADEMA na ACT
Mrema, Cheyo, MbatiaWakijitoa then katika wale kumi magu atachagua wapinzani
Mtu wa kuogopa kuchekwa na dunia ni jiwe. Sasa kama umeshindwa kumshauri jiwe ili asichekwe, unapata wapi haki ya kuwashauri CHADEMA na ACT??Thats where Chadema missing the point. "mtachekwa na dunia" ooh my dear dunia haina muda wa kuangalia hayo na kucheka dunia itaendelea as if nothing happened. Watu wana issue zao zingine za muhimu. Viva MAGU