LGE2024 CHADEMA na ACT Wazalendo wameambulia Vijiji na Mitaa kadhaa Wanalalamika kuna Vyama 14 vimepata 0% vinashangilia, Bongo Land duh!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu

Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama vingine 14 vimepata 0% vimefanya na Sikukuu Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki na vyote hivi ni Kambi ya Upinzani

Yawezekana siasa zetu bado ni za Level ya Chekechea 😂

Kwako Ustaadh THE BIG SHOW
 
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri ...
Hivyo vyama viliyo pata 0 si vya kufananisha na chadema let alone ACT iliyo anza juzi
Rafu nyingi sana wamefanyiwa chadema na ACT, wamepoteza wagombea, wameuwawa, na mambo mengine

It unfair kufananisha 0 na 1
 
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu

Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama vingine 14 vimepata 0% vimefanya na Sikukuu Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki na vyote hivi ni Kambi ya Upinzani

Yawezekana siasa zetu bado ni za Level ya Chekechea 😂

Kwako Ustaadh THE BIG SHOW
Yale mavyama ya kipumbavu machawa ya ccm! Shenzi kabisa!
 
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri ...
Hivyo vyama ni ama mapandikizi au kwa kuona haviwezi kushinda, then vinaona heri wote wakose. Havina lengo la kuleta maendeleo nchini, maana vyama vya upinzani kazi yake ni kuonyesha mapungufu ya serikali ili iwajibike zaidi kwa wananchi. Sasa ukiona chama kinachopeti peti serikali ujue hicho hakina mpango na maendeleo ya nchi, maana kuikosoa serikali kuna maana ya worse iwe good, good iwe better, better iwe best na hii ni lazima iwe endelevu na ndiyo inayoleta maendeleo.
 
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu

Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama vingine 14 vimepata 0% vimefanya na Sikukuu Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki na vyote hivi ni Kambi ya Upinzani

Yawezekana siasa zetu bado ni za Level ya Chekechea 😂

Kwako Ustaadh THE BIG SHOW
Bora level ya chekechea, tupo gizani kabisa, hayo mapandikizi 14 hata kuweka wagombea hayakuweka ni ushetani tupu, tukiitwa nyani na wazungu tuwe tunaitika haraka sn.
 
Waafrica tukiitwa nyani tuwe tunaitika haraka sn sisi na nyani hakuna tofauti sema sisi ni nyani wa mjini tunafugwa.
 
Mzee mzima huoni hata aibu?

Huo upuuzi uliofanyika wa kupoteza pesa za walipa kodi unasema ulikuwa uchaguzi?
 
Back
Top Bottom