LGE2024 CHADEMA na ACT Wazalendo wameambulia Vijiji na Mitaa kadhaa Wanalalamika kuna Vyama 14 vimepata 0% vinashangilia, Bongo Land duh!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu

Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama vingine 14 vimepata 0% vimefanya na Sikukuu Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki na vyote hivi ni Kambi ya Upinzani

Yawezekana siasa zetu bado ni za Level ya Chekechea šŸ˜‚

Kwako Ustaadh THE BIG SHOW
Matumizi ya ndom na nyeto yangeepusha huu upumbavu unaoandika
 
Sure nyani wananafuu asee
Mkuu huko kwetu moshi , nyumbani kwetu ni maeneo ya mwisho kabisa ya makazi ya watu halafu ndio unaingia msitu wa Kilimanjaro.

sasa kuna usumbufu mkubwa wa nyani kwenye mazao ya watu ,hauwezi amini kiongozi wa nyani alikua na mipango madhubuti kuliko binadamu.

Namna gani ya kukwepa mitego , na kuiba mazao pasipo usumbufu .
Makiwendo
 
CCM ni wajinga sn nyani wana nafuu
 
Back
Top Bottom