johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivyo vyama viliyo pata 0 si vya kufananisha na chadema let alone ACT iliyo anza juziHii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri ...
Yale mavyama ya kipumbavu machawa ya ccm! Shenzi kabisa!Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu
Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama vingine 14 vimepata 0% vimefanya na Sikukuu Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki na vyote hivi ni Kambi ya Upinzani
Yawezekana siasa zetu bado ni za Level ya Chekechea 😂
Kwako Ustaadh THE BIG SHOW
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Tukubali ukweli hii nchi mpinzani wa kweli ni CHADEMA tu. Ndio maana kutwa nzima CCM ni kuisakama CHADEMA na sio CCK, ADA TADEA, CUF wala CHAUMMA.
ACT Wazalendo ukiondoa kile Cheo Cha Kiongozi wa Chama KC ndio kinakuwa Chama Cha kweli cha Upinzani 😀Tukubali ukweli hii nchi mpinzani wa kweli ni CHADEMA tu. Ndio maana kutwa nzima CCM ni kuisakama CHADEMA na sio CCK, ADA TADEA, CUF wala CHAUMMA.
Unadhani Chadema wanafanya Siasa za kiukweli?Vyama vingine ni geresha tu kuonyesha democracy ipo.
Afu wamechookaVyama vingine ni geresha tu kuonyesha democracy ipo.
Mbona mnaipa hamsubirii riziji ya Mungu, mnafikibewe ki..nembeVyama vingine vina tamaa, havijui riziki anatoa Mwenyezi Mungu
Inakuaje kuna wanaotekwa na kuuwawa?🤔Unadhani Chadema wanafanya Siasa za kiukweli?
Hivyo vyama ni ama mapandikizi au kwa kuona haviwezi kushinda, then vinaona heri wote wakose. Havina lengo la kuleta maendeleo nchini, maana vyama vya upinzani kazi yake ni kuonyesha mapungufu ya serikali ili iwajibike zaidi kwa wananchi. Sasa ukiona chama kinachopeti peti serikali ujue hicho hakina mpango na maendeleo ya nchi, maana kuikosoa serikali kuna maana ya worse iwe good, good iwe better, better iwe best na hii ni lazima iwe endelevu na ndiyo inayoleta maendeleo.Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri ...
Hata Kwenye chama kimoja zilikuwepo hizo bwasheeInakuaje kuna wanaotekwa na kuuwawa?🤔
Bora level ya chekechea, tupo gizani kabisa, hayo mapandikizi 14 hata kuweka wagombea hayakuweka ni ushetani tupu, tukiitwa nyani na wazungu tuwe tunaitika haraka sn.Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu
Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama vingine 14 vimepata 0% vimefanya na Sikukuu Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki na vyote hivi ni Kambi ya Upinzani
Yawezekana siasa zetu bado ni za Level ya Chekechea 😂
Kwako Ustaadh THE BIG SHOW
SureChama Cha upinzani ni kimoja tu CHADEMA vingine ni matawi ya ccm kuounguza nguvu ya CHADEMA.
Mkuu unawachukulia poa sana nyani, fuatilia nyani huwa wanakubali kuongozwa na kiongozi wa namna gani🤔Waafrica tukiitwa nyani tuwe tunaitika haraka sn sisi na nyani hakuna tofauti sema sisi ni nyani wa mjini tunafugwa.