Chadema na ACT Wazalendo wanaweza kutumika na wabobezi wa siasa kali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Hivi vyama viwili kila kimoja kimeelekea zaidi upande fulani tofauti na kingine jambo ambalo ni hatari kwa umoja wa kitaifa.

Nimejaribu kuangalia uongozi wao wa juu na kamati kuu za vyama hivi viwili sijaona uwiano kabisa ni kama vile vyama vya uarabuni au nchi za Scandinavia.

Nawashauri wakongwe wa siasa za upinzani Mh Mbowe na mwenzie Zitto waige utaratibu wa CCM ambao umeweka hadi zamu za kuongoza kwa mamlaka ya juu kabisa kwa usawa kwa kila upande.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
 
Huenda kukawa na mapungufu ya hapa na pale katika uwiano wa viongozi wa cdm au ACT, lakini ni wendawazimu hivyo vyama kwenda kuiga mitindo ya ccm. Hili hata mzee Mgaya na mchungaji Erasto hawawezi kukuunga mkono.
 
Kama sio mwanachama wa vyama hivyo kwanini unahangaika? Waache wenye vyama vyao na wewe endelea na chama chako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujamaa ulishakufa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na mapungufu yao, hawana la kujifunza kutoka CCM, CCM hii inayovua vyura na kuridhika kuwa imevua samaki???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…