Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

Magamba mchukueni Zitto anawafaa sana.
 
kwa kuwa wewe ni gamba,huwezi kutukaribisha kwenye mkeka wenye kinyesi
 
Post nyingine bhana!Aarrgghh,kwani ni lazima?by the way umetekeleza kazi ya leo ok wahi B7 yako lumumba.

Hivi pamoja bei ya Umeme kupanda na Gas, Bado wanalipwa BK7 mpaka leo?

Au ni BK7 na Unit za umeme na Mtungi wa Gas bure ?
 
Petition aliyopeleka Zito ni kutokujadili uanachama sawa kwani wameujadili vipi, wao wamesema wanachama wao wasishiriki mikutano ya Zito nadhani wangesema mfukuza au kumsimamisha hapo uhuru wa mahakama ungekuwa umeingiliwa. Lakini huyu kijana anakula matabishi yake alisha kaririwa mwaka jana na hata mwaka juzi kuwa 'Siwezi kuwa mbunge wa Mahakama', Juzijuzi tulimwona Selena Hoteli'Nitafuata kanuni na sheria za chama kutafuta haki yangu' leo yupo Mahakamani Ubunge mtamu ooh! ni mwenyekiti wa PAC na ni mwakilishi wa Watu hivyo akifukuzwa watu wake watashindwa kuwakilishwa, Hayo yote anatapatapa kulinda Posho, na marupurupu vijana mmeona mkimwaga mboga wenzenu wanamwaga ugali, Nadhani angeenda kwa Mansour akamwomba ushauri kabla hajaanza kushindana na uongozi lakini kwasas ameshachelewa!

 
Ndugu Ruta, je kwenye minutes za kikao cha kamati kuu cha juzi kuna para inayozungumzia uanachama wa zzk?
 
Soma maneno ya dr slaa ndio utaelewa nasema nini. kwa maneno ya dr slaa ni wazi wameujadili uanachama wa zitto.

Kwa sababu akili yako kama Samaki hauwezi kuelewa na kutafsiri Hayo Maneno.
Aisee mnatia huruma MPAKQ BASI JAMAN.
CHADEMA kuweni na huruma na huyu mtu na wafuasi wake basi.
 

Anachomaanisha Tundu Lissu ni kuwa CHADEMA imeshamfukuza Zitto Uanchama wake na yeye amebaki kuwa mwanachama wa CHADEMA kwasababu ya kesi iliyopo Mahakamani. Maana yake nini? ni kuwa KK ilijadili ajenda ya Uanachama wa Zitto na kutolea maamuzi. Na hii inawezekana, kwa mujibu wa katiba toleo la 2006 KK inakutana mara 4 kwa mwaka, sasa kwa Quarter hii KK imeshakutana, Kama KK isingejadili suala la Zitto maana yake suala lake libaki mpaka itakapokuja kukutana tena Baada ya mwezi wa 3. na kutokana na hasira za baadhi ya wajumbe wa KK walizonazo dhidi ya ZZK wasingependa kuona kuwa ZZK anabaki kuwa mwanachama wa CHADEMA baada ya kesi. Hivyo basi walilazimisha KK kujadili na kufikia maamuzi, Ili baada ya kesi kama watashinda Kesi hawana haja ya kuiita KK tena bai ni Mheshimiwa ZZK anapewa barua ya kuvuliwa uanachama wake moja.

Pia ushahidi unaonyesha wazi kuwa kulikuwa na mjadala kuhusiana na uanachama wa Zitto, kama kusingekuwa na mjadala maelezo ambayo ni ushahidi wa ushiriki wa Zitto katika Waraka wa Mabadiriko 2013 yasingetamkwa ndani ya Kikao. Maelezo kuwa ZZK aliwasiliana na mtu anayefahamika kwa jina la CHADEMA mpya yasingetolea, Maelezo ya kuwa Kitila Alikiri kuwa alimpa briefing ZZK kuhusiana na waraka yasingetolewa. It is Obvious kuwa KK ya CHADEMA walipuuza maagizo ya Mahakama
 
Petition aliyopeleka Zito ni kutokujadili uanachama sawa kwani wameujadili vipi, wao wamesema wanachama wao wasishiriki mikutano ya Zito nadhani wangesema mfukuza au kumsimamisha hapo uhuru wa mahakama ungekuwa umeingiliwa. !
Haki za mwanachama wa chama ni pamoja na kushiriki mikutano halali na shghuli za chama pamoja na wanachama wenzake.
 
CDM wangeujadili uanachama wa Zitto unafikiri Zitto angekuwa mwanachama wa CDM sasa hivi ?

Aishukuru mahakama kwani panga lingekuwa limeshakata shingo yake ! Hata hivyo muda si mrefu, na yeye atapata haki yake....atapigwa chini kama wenzake !

Soma maneno ya dr slaa ndio utaelewa nasema nini. kwa maneno ya dr slaa ni wazi wameujadili uanachama wa zitto.
 
Haki za mwanachama wa chama ni pamoja na kushiriki mikutano halali na shghuli za chama pamoja na wanachama wenzake.

Hizi nguvu laiti mngezitumia mwanzo kabisa kumshauri Zitto aombe radhi mnhekuwa more profuctive.
Now its too late aisee
 
Zitto ni mzito wa kuelewa mnafki na anaonyesha uchawi wake peupe kabisa mwenye macho hato uliza usaliti wa huyu mbulula alie enda shule lakini akawa wa nwiaho dalasan kwa kukaa mwisho wa dalasa na nimvivu wa kufikiri,alikifata chama mwenyewe leo hii anastahili kufukuzwa kama mmbwa shauri ya ufis wake
 

kuna tofauti kati ya siku ya kujadiliwa na siku ya tamko.
Kilichotokea pale walipojadiliwa wale wengine, huyo mtu wako akawa connected, na hivyo basi.
Tofautisha kati ya subject, object na reference.
 
Last edited by a moderator:
Sasa nani asiyejua kwamba kuna mgogoro kati ya Zitto na CDM ? Is it not obvious kwa kila mtu kwamba kama si mahakama leo Zitto asingekuwa mwanachama wa CDM ? Wewe kumbe issue ni kuwekewa vikwazo ! Wewe ulitaka awe treated kama mwanachama mwingine yeyote ?, obviously hilo haliwezekani, kwa sababu hapo alipo tayari ana mgogoro na chama, na lazima awe treated with suspicion......

Kwa hiyo CDM wanachofanya ni kujaribu kumzuia kwa kiwango wanachoweza asiharibu chama zaidi....kama si zuio la mahakama wangekwenda mbali, wangemfukuza !

Kitendo tu kwamba hawajamfukuza ingawa walipenda sana kufanya hivyo kinaonyesha wameiheshimu mahakama !

inawezekanaje mtu awekewe kikwazo hichi na aendelee kuwa mwana chama?
 
kwa sababu akili yako kama samaki hauwezi kuelewa na kutafsiri hayo maneno.
Aisee mnatia huruma mpakq basi jaman.
Chadema kuweni na huruma na huyu mtu na wafuasi wake basi.

mkuu hayo matusi yako haya niyumbishi hata kidogo.

Tundulissu anasema zitto anaendelea kuwa mwana chama wa chadema kwa sababu ya mahakama. Akimaanisha wao kama chadema wamemsha mjadili na wame mfukuza ndio maana amesema hayo maneno.

Katika hili chadema wamedharau amri ya mahakama.
Na Tundu Lissu ndio anawaponza chadema kila leo.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Ruta, je kwenye minutes za kikao cha kamati kuu cha juzi kuna para inayozungumzia uanachama wa zzk?
Mahakama imekataza kujadili Zitto walichofanya viongozi wa Chadema ni uhuni kutokuheshimu sheria za nchi halafu ndiyo mnataka watanzania wawape dola, ebu hapa chini msome Lissu.
Hapa haujaona kama Zitto amejadiliwa au mtu hakiwa Chadema na akili ya ufahamu inajifunga. Dr.W.Slaa naye anaendelea kumjadili Zitto msome hapa chini.
Dr. Slaa anasoma mawasiliano kati ya Zitto na Mtu anayejiita Chadema Mpya. ambapo anasisitiza kuwa Mkakati ulianza kutekelezwa mapema kwa hiyo hoja kuwa Zitto alikuwa hajui Mkakati ni ya Uongo.
Msome tena hapa chini kiongozi wako anadharau amri ya mahakama.
Chama kinawatangazia Wanachama wote na wapenzi wote kutokushiriki mikutano ama shughuli zozote za kisiasa zitakazoandaliwa na Zitto Kabwe na Washirika wake kwa jina la Chama.
Nadhani wakili wa Zitto, Alberto Msando ameliona hili.
 
Hizi nguvu laiti mngezitumia mwanzo kabisa kumshauri Zitto aombe radhi mnhekuwa more profuctive.
Now its too late aisee

Issue nadhani sio Kumshauri Zitto aombe radhi? Aombe Radhi kwa lipi? Nadhani tunapaswa na tulipaswa wote kwa pamoja kusimamia Misingi na kanuni za Chama. KK ifuate katiba katika kuwadiscipline wanachama ikiwa ni pamoja na kuwapa haki yao ya kusikilizwa na vikao vya juu kama BK. Wanachama wanapaswa kuhoji masuala ya chama katika vikao halali. Hii ndio itaifanya CHADEMA izidi kusimama, hakuna mshindi kwenye hili, whether ZZK ataondolewa uanachama wake kama Hakuna Demkrasia ya kweli ndani ya CHADEMA bado KK itakuwa haijaitendea Haki, Kama suala la Nidhamu litaangaliwa kwa ZZK peke yake na akina Lema Wataachwa wabehave the way they wish, hata kuwatukana na kuwakashfu viongozi wa juu kwenye mitandao na live, kutumia nguvu kunyang'anya personal properties za watu basi CHADEMA haitakuwa imeleta ukombozi wa kweli wanaoutumaini watanzania, CHADEMA would be another Catastrophic ghost in a face of an Angel.
 
Big up ruta.

Umeng'amua kipengele kizuri na muhimu sana.

Secretariet iliagizwa kuandaa ripoti ya kikao cha kamati kuu na kusoma kwa watu wa media. Maana yake ni kwanza kilichoandaliwa na kusomwa ni kile kilichojadiliwa na kuamuliwa kwenye kamati kuu.

Guys I loved this party bit I'm real fed up with all the shits going on within this party.

Mahakama tafadhali chukueni hatua kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…