Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kuwa wewe ni gamba,huwezi kutukaribisha kwenye mkeka wenye kinyesiChadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama.
Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi ya kamati kuu ya chadema kujadili uanachama wake na kutokana na mwenendo wa shauri hilo mahakami, mahaka iliagiza chadema kutojadili uanachama wa mh zitto kabwe hadi mwisho wa shauri yani hukumu.
Siku ya ijumaa John Mnyika alionekana kwenye vyombo vya habari akisema hawatojadili uanachama wa zitto kutokana na agizo la mahakama na shauri linalo endelea.
Lakini cha ajabu leo kwenye kikao cha chadema na waandishi wa habari kilicho kuwa na lengo la kutoa na kueleza maazimio ya kamati kuu, wameonesha wazi kuwa wame kahidi agizo la mahakama na kuya dharau na ni wazi walijadili uanachama wa zitto.
Kurugenzi ya Habari imenukuu maneno yaliyo somwa na dr slaa ya kionesha kamati kuu imejadili uanachama wa zitto.
Na nukuu
" chama kina wataka wanachama wote na wapenzi wote kuto shiriki mikutano ,ama shughuli zozote za kisiasa zitakazo andaliwa na zitto kabwe na washirika wake kwa jina la chadema"
kwa hayo maneno hapo juu haihitaji kuwa profesa kuelewa kuwa chadema wamemjadili zitto pamoja na uanachama wake hivyo wame kahidi maagizo ya mahakama na kuyasigina kabisa kama hawatambui uwepo wake.
Hayo maneno yaliyo somwa na dr slaa leo yanaonesha kabisa chadema kuto heshimu mamlaka za nchi.
Wananchi wanatakiwa kujua hawa chadema mambo yanapo kwenda kombo kwa upande wao ndio huwa wa kwanza kusema wanaonewa.
Nimejiuliza kilicho wafanya chadema kuto subiri jumatatu baada ya hukumu ndio wajadili uanachama wa zitto?
Hivi kwanini mh Tundu Lissu unashindwa kuwa mshauri mzuri kwa chama chako?
Chadema kwa hili la leo ni dharau kubwa kwa mahakama.
Karibuni wana jamvi.
Post nyingine bhana!Aarrgghh,kwani ni lazima?by the way umetekeleza kazi ya leo ok wahi B7 yako lumumba.
Chadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama.
Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi ya kamati kuu ya chadema kujadili uanachama wake na kutokana na mwenendo wa shauri hilo mahakami, mahaka iliagiza chadema kutojadili uanachama wa mh zitto kabwe hadi mwisho wa shauri yani hukumu.
Siku ya ijumaa John Mnyika alionekana kwenye vyombo vya habari akisema hawatojadili uanachama wa zitto kutokana na agizo la mahakama na shauri linalo endelea.
Lakini cha ajabu leo kwenye kikao cha chadema na waandishi wa habari kilicho kuwa na lengo la kutoa na kueleza maazimio ya kamati kuu, wameonesha wazi kuwa wame kahidi agizo la mahakama na kuya dharau na ni wazi walijadili uanachama wa zitto.
Kurugenzi ya Habari imenukuu maneno yaliyo somwa na dr slaa ya kionesha kamati kuu imejadili uanachama wa zitto.
Na nukuu
" chama kina wataka wanachama wote na wapenzi wote kuto shiriki mikutano ,ama shughuli zozote za kisiasa zitakazo andaliwa na zitto kabwe na washirika wake kwa jina la chadema"
kwa hayo maneno hapo juu haihitaji kuwa profesa kuelewa kuwa chadema wamemjadili zitto pamoja na uanachama wake hivyo wame kahidi maagizo ya mahakama na kuyasigina kabisa kama hawatambui uwepo wake.
Hayo maneno yaliyo somwa na dr slaa leo yanaonesha kabisa chadema kuto heshimu mamlaka za nchi.
Wananchi wanatakiwa kujua hawa chadema mambo yanapo kwenda kombo kwa upande wao ndio huwa wa kwanza kusema wanaonewa.
Nimejiuliza kilicho wafanya chadema kuto subiri jumatatu baada ya hukumu ndio wajadili uanachama wa zitto?
Hivi kwanini mh Tundu Lissu unashindwa kuwa mshauri mzuri kwa chama chako?
Chadema kwa hili la leo ni dharau kubwa kwa mahakama.
Karibuni wana jamvi.
Soma maneno ya dr slaa ndio utaelewa nasema nini. kwa maneno ya dr slaa ni wazi wameujadili uanachama wa zitto.
wakati Tundu Lissu anasema hayo kuwadanganya watu, we soma maneno ya dr slaa aliyo nukuliwa na kurugenzi ya habari na yanaonesha wazi uanachama wa zitto umejadiliwa.
HEBU NIAMBIE HAYO MANENO YA DR SLAA YANA MAANA GANI? KAMA LISSU ANASEMA ZITTO BADO NI MWANA CHAMA NA HAYO MANENO YANATOKA WAPI NA YANA MAANISHA NINI?
Haki za mwanachama wa chama ni pamoja na kushiriki mikutano halali na shghuli za chama pamoja na wanachama wenzake.Petition aliyopeleka Zito ni kutokujadili uanachama sawa kwani wameujadili vipi, wao wamesema wanachama wao wasishiriki mikutano ya Zito nadhani wangesema mfukuza au kumsimamisha hapo uhuru wa mahakama ungekuwa umeingiliwa. !
Soma maneno ya dr slaa ndio utaelewa nasema nini. kwa maneno ya dr slaa ni wazi wameujadili uanachama wa zitto.
Zitto hajapeleka Petition Mahali popote Kaka, Umeitoa wapi hii?Petition!
Haki za mwanachama wa chama ni pamoja na kushiriki mikutano halali na shghuli za chama pamoja na wanachama wenzake.
Haki za mwanachama wa chama ni pamoja na kushiriki mikutano halali na shghuli za chama pamoja na wanachama wenzake.
wakati Tundu Lissu anasema hayo kuwadanganya watu, we soma maneno ya dr slaa aliyo nukuliwa na kurugenzi ya habari na yanaonesha wazi uanachama wa zitto umejadiliwa.
HEBU NIAMBIE HAYO MANENO YA DR SLAA YANA MAANA GANI? KAMA LISSU ANASEMA ZITTO BADO NI MWANA CHAMA NA HAYO MANENO YANATOKA WAPI NA YANA MAANISHA NINI?
Hivi kuandika "dr slaa" sio uandishi wa darasa la kwanza kweli??!!
Shule za kata ni hatari sana!
inawezekanaje mtu awekewe kikwazo hichi na aendelee kuwa mwana chama?
kwa sababu akili yako kama samaki hauwezi kuelewa na kutafsiri hayo maneno.
Aisee mnatia huruma mpakq basi jaman.
Chadema kuweni na huruma na huyu mtu na wafuasi wake basi.
Mahakama imekataza kujadili Zitto walichofanya viongozi wa Chadema ni uhuni kutokuheshimu sheria za nchi halafu ndiyo mnataka watanzania wawape dola, ebu hapa chini msome Lissu.Ndugu Ruta, je kwenye minutes za kikao cha kamati kuu cha juzi kuna para inayozungumzia uanachama wa zzk?
Hapa haujaona kama Zitto amejadiliwa au mtu hakiwa Chadema na akili ya ufahamu inajifunga. Dr.W.Slaa naye anaendelea kumjadili Zitto msome hapa chini.Lissu anaongeza kuwa Zitto mpaka sasa ana magari mawili ya Nimrod Mkono na Mkono mwenyewe ndie amewaambia taarifa hizo. Mkono amewaambia kuwa amempa Zitto hela nyingi sana na Zitto alishiriki moja kwa moja kumzuia mgombea wa Chadema katika Jimbo la Nimrod Mkono wakati Nimrod Mkono alikuwa ni namba sita katika orodha ya Mafisadi iliyotajwa pale Mwembeyanga.
Lissu anasisitiza kuwa washirika wa usaliti huu na uhaini huu hawakupenda kutangazwa kuwa wao ni Wasaliti na wahaini lakini yeye anasema wale ni Wahaini na Wasaliti. Lissu anasema kuwa Zitto anaendelea kuwa Mwanachama na Mbunge wa CHADEMA kwasababu ya Mahakama tu na sio kwasababu ya mapenzi ya CHADEMA.
Msome tena hapa chini kiongozi wako anadharau amri ya mahakama.Dr. Slaa anasoma mawasiliano kati ya Zitto na Mtu anayejiita Chadema Mpya. ambapo anasisitiza kuwa Mkakati ulianza kutekelezwa mapema kwa hiyo hoja kuwa Zitto alikuwa hajui Mkakati ni ya Uongo.
Nadhani wakili wa Zitto, Alberto Msando ameliona hili.Chama kinawatangazia Wanachama wote na wapenzi wote kutokushiriki mikutano ama shughuli zozote za kisiasa zitakazoandaliwa na Zitto Kabwe na Washirika wake kwa jina la Chama.
Hizi nguvu laiti mngezitumia mwanzo kabisa kumshauri Zitto aombe radhi mnhekuwa more profuctive.
Now its too late aisee