Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

pole sana ndugu yangu, naona unajitoa ufahamu, na wewe ni mmoja wa waliompeleka Z akafungue kesi mahakamani nini, kwa taarifa yako hapo ndio mmempoteza kabisa, kwani mpaka sasa hana chake, kuitetea ccm yakupasa uwe na akili kama ya chizi, jitambue.
 
MACHADEMA ni manafiq,mapu.bav. ,mawongo na MAJING. SANA!!
 
Kwa hiyo unataka kusema kwamba CDM haina uwezo wa kuwaambia wanachama wake wasihudhurie mikutano itakayoitishwa na mwanachama mwingine yeyote wa CDM ? (kama wakitaka kufanya hivyo). Zitto ni mbunge anaweza kwenda jimboni kwake akaitisha mikutano na kuongea na wapiga kura wake na CDM hawana uwezo wa kumzuia kuitisha mkutano kama huo. Lakini wana uwezo na haki ya kuwashawishi wanachama wao kutohudhuria mikutano yake wakitaka kufanya hivyo.....

Hilo wanaweza kulifanya kwa mwanachama yeyote including Zitto, unless unataka kutuambia kwamba mahakama imetoa amri kwamba Zitto awe na status tofauti na wanachama wengine ndani ya CDM !


tatizo watu wanachukulia sheria kama quruan au biblia, unapowataka wanachama wasishiriki mikutano ya zitto wkt zitto bado anajulikana ni mwanachama halali wa chadema ambaye ana haki ya kufanya mikutano kupitia uanachama wake tayari lile zuio linahusu uanachama wa zitto kuzuiwa kupitia haki yake ya kufanya mikutano ka mwanachama wa chadema.tayari wamekaidi amri ya mahakama,mtasikia kesho
 
CHADEMA wamekatazwa kujadili uanachama wa Zitto right?

Kwa hiyo, kukatazwa kujadili uanachama wa Zitto na chama kuamua Zitto asifanye mikutano kwa jina la chama ni kitu kimoja?

CHADEMA hakiwezi kuacha kujadili uanachama wa Zitto (na hivyo kutovunja amri ya mahakama presumably) na kumzuia kufanya mikutano kwa jina la chama?

Mahakama imekataza nini hasa?
 
mkuu ,sijui kwanini baada ya kusoma uzi wako nikakuhurumia ?
 
sasa nani asiyejua kwamba kuna mgogoro kati ya zitto na cdm ? Is it not obvious kwa kila mtu kwamba kama si mahakama leo zitto asingekuwa mwanachama wa cdm ? Wewe kumbe issue ni kuwekewa vikwazo ! Wewe ulitaka awe treated kama mwanachama mwingine yeyote ?, obviously hilo haliwezekani, kwa sababu hapo alipo tayari ana mgogoro na chama, na lazima awe treated with suspicion......

Kwa hiyo cdm wanachofanya ni kujaribu kumzuia kwa kiwango wanachoweza asiharibu chama zaidi....kama si zuio la mahakama wangekwenda mbali, wangemfukuza !

Kitendo tu kwamba hawajamfukuza ingawa walipenda sana kufanya hivyo kinaonyesha wameiheshimu mahakama !

tundu lissu anasema zitto anaendelea kuwa mwana chama wa chadema kwa sababu ya mahakama tuu, akimanisha wao kama wao walisha ujadili uanachama wake na wakamvua na ndio maana dr slaa amenukuliwa akiwasihi wana chadema wasi hudhurie mikutano ya zitto akijua fika hiyo ni haki ya mtu ambaye bado ni mwanachama.

Ukiyasoma vyema maneno ya lissu na dr slaa utagundua waliujadili uanachama wa zitto kinyume na maagizo ya mahakama na wanacho fanya ni kucheza na akili za watu tuu.
 
Chadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama.

Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi ya kamati kuu ya chadema kujadili uanachama wake na kutokana na mwenendo wa shauri hilo mahakami, mahaka iliagiza chadema kutojadili uanachama wa mh zitto kabwe hadi mwisho wa shauri yani hukumu.

Siku ya ijumaa John Mnyika alionekana kwenye vyombo vya habari akisema hawatojadili uanachama wa zitto kutokana na agizo la mahakama na shauri linalo endelea.

Lakini cha ajabu leo kwenye kikao cha chadema na waandishi wa habari kilicho kuwa na lengo la kutoa na kueleza maazimio ya kamati kuu, wameonesha wazi kuwa wame kahidi agizo la mahakama na kuya dharau na ni wazi walijadili uanachama wa zitto.
Kurugenzi ya Habari imenukuu maneno yaliyo somwa na dr slaa ya kionesha kamati kuu imejadili uanachama wa zitto.
Na nukuu
" chama kina wataka wanachama wote na wapenzi wote kuto shiriki mikutano ,ama shughuli zozote za kisiasa zitakazo andaliwa na zitto kabwe na washirika wake kwa jina la chadema"

kwa hayo maneno hapo juu haihitaji kuwa profesa kuelewa kuwa chadema wamemjadili zitto pamoja na uanachama wake hivyo wame kahidi maagizo ya mahakama na kuyasigina kabisa kama hawatambui uwepo wake.


Hayo maneno yaliyo somwa na dr slaa leo yanaonesha kabisa chadema kuto heshimu mamlaka za nchi.

Wananchi wanatakiwa kujua hawa chadema mambo yanapo kwenda kombo kwa upande wao ndio huwa wa kwanza kusema wanaonewa.

Nimejiuliza kilicho wafanya chadema kuto subiri jumatatu baada ya hukumu ndio wajadili uanachama wa zitto?

Hivi kwanini mh Tundu Lissu unashindwa kuwa mshauri mzuri kwa chama chako?

Chadema kwa hili la leo ni dharau kubwa kwa mahakama.

Karibuni wana jamvi.

umesahau jambo,kunasehemu Mwanasheria msomi amesikika akisema kuwa,ubunge na uanachama wa zitto upo kwa matakwa ya mahakama na si kwa mapenzi ya chadema
hii inamaanisha kuwa wameshafanyia maamuzi jambo ambalo lina zuio la kimahakama
 
Kwenye hili ulihitaji Profesa kuelewa tofauti ya kujadili uanachama wa mtu na maelekezo kwa wanachama!
Mbumbummbu wa sheria kama #TeamZitto !

zitto ni mwanachama wa chadema. Kumjadili zitto ni kujadili uanachama wake. Unawezaje kumtenganisha zitto na uanachama wake. Ndani ya chadema they are like chicken and eggs. You can't separate them Mpaka zitto atoke chadema. Think twice. Mahakama Pse react on this.
 
Hivi kuna haki ya mwanachama ambayo inasema mwanachama atakapotaka kufanya mikutano ya hadhara, Chama hakina haki ya kushawishi wanachama wake kutohudhuria mikutano hiyo ?

Wangeujadili uanachama wa Zitto, angekuwa ameshachinjiwa baharini kama wenzake !

yani Tundu Lissu anasema zitto ni mwana chama lakini papo hapo tamko lao linaonesha haki za zitto kama mwana chama wa chadema amepokonywa.

Ni wazi wameujadili uanachama wa zitto na hapo ndipo walipo kahidi amri ya mahakama.
 
hata kuibia unashiinfwa? hapatatizo liko. wapi mbona unatokwa na povu kohivp?. jifunze kutafsiri maagizo upunguze. udivision 5
 
Lisu hajui sheria ni mbishi wa wala hajui sheria.
 
pole sana ndugu yangu, naona unajitoa ufahamu, na wewe ni mmoja wa waliompeleka z akafungue kesi mahakamani nini, kwa taarifa yako hapo ndio mmempoteza kabisa, kwani mpaka sasa hana chake, kuitetea ccm yakupasa uwe na akili kama ya chizi, jitambue.

mkuu kwa maneno yako una kubaliana na mimi zitto amefukuzwa uanachama na hivyo chadema wame kiuka amri ya mahakama.
 
na wakishindwa case utawasikia wanasema kuwa ikulu imeingilia case na kusingizia watu wengine na wata tunga adithi kama kawaida yao.

hili la CHADEMA kushindwa kesi mbona liko dhahiri, kwani kuanzia hati ya mashitaka iliandaliwa na Jaji Makanja, hapo utegemee muuzija gani kuiokoa CHADEMA kushindwa kesi hiyo !!!
 
Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi ya kamati kuu ya chadema kujadili uanachama wake na kutokana na mwenendo wa shauri hilo mahakami, mahaka iliagiza chadema kutojadili uanachama wa mh zitto kabwe hadi mwisho wa shauri yani hukumu.

Mahakama iliagiza CHADEMA kutokumjadili Zitto popote pale au kwenye kamati kuu tu?

Siku ya ijumaa John Mnyika alionekana kwenye vyombo vya habari akisema hawatojadili uanachama wa zitto kutokana na agizo la mahakama na shauri linalo endelea.

Hawatojadili uanachama wake wapi? Kwenye kikao cha kamati kuu? Mtaani? Majumbani mwao? Kwenye baa? Au wapi hasa?

Lakini cha ajabu leo kwenye kikao cha chadema na waandishi wa habari kilicho kuwa na lengo la kutoa na kueleza maazimio ya kamati kuu, wameonesha wazi kuwa wame kahidi agizo la mahakama na kuya dharau na ni wazi walijadili uanachama wa zitto.

Mkutano na waandishi wa habari ni sawa na kikao cha kamati kuu?
 
Issue nadhani sio Kumshauri Zitto aombe radhi? Aombe Radhi kwa lipi? Nadhani tunapaswa na tulipaswa wote kwa pamoja kusimamia Misingi na kanuni za Chama. KK ifuate katiba katika kuwadiscipline wanachama ikiwa ni pamoja na kuwapa haki yao ya kusikilizwa na vikao vya juu kama BK. Wanachama wanapaswa kuhoji masuala ya chama katika vikao halali. Hii ndio itaifanya CHADEMA izidi kusimama, hakuna mshindi kwenye hili, whether ZZK ataondolewa uanachama wake kama Hakuna Demkrasia ya kweli ndani ya CHADEMA bado KK itakuwa haijaitendea Haki, Kama suala la Nidhamu litaangaliwa kwa ZZK peke yake na akina Lema Wataachwa wabehave the way they wish, hata kuwatukana na kuwakashfu viongozi wa juu kwenye mitandao na live, kutumia nguvu kunyang'anya personal properties za watu basi CHADEMA haitakuwa imeleta ukombozi wa kweli wanaoutumaini watanzania, CHADEMA would be another Catastrophic ghost in a face of an Angel.

Haina haja ya kubishana nanyi.
Na tuone nani mshindi
 
Lisu hajui sheria ni mbishi wa wala hajui sheria.

Kumbe hujui kuwa kazi ya unasheria ni kazi ya ubishi? kama hujui hilo wewe hujawahi nkusoma sharia. Sheria unapoisoma jiandae kubadilisha misimamo ya Jaji na watu wengine
 
Back
Top Bottom