Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #101
tatizo la watanzania ndo maana hatuna maendeleo, mahakama ilizuia kujadili uanachama wa zito na si matendo ya zito katika chama, uanachama una maana ya kuendelea kuwa mwanachama au kuondolewa kwenye chama . Kitu ambacho chadema haikufanya. Hii haizuii kumchambua zito kama mwenzao katika matendo na kukusanya ushahidi kuhusu mwenendo wake ili baada ya kesi kwisha uamuzi ufikiwe kukiwa na ushahidi madhubuti dhidi yake kama huu wa mkono.
maneno ya katibu mkuu na ya mwana sheria wa chadema yana tofautiana na hicho unacho kiongea wewe.
Tundu lissu anasema kuwa zitto anaendelea kuwa mwana chama kwa sababu ya mahakama tuu, hapa ana maanisha kuwa wao kama chama wamesha mfukuza na umeujadili uanachama wake.
Dr slaa ana waagiza wana chadema kuto hudhuria mikutano ya zitto inayo andaliwa kwa jina la chadema, hapa dr slaa ana maanisha kuwa hawamtambui kama mwana chama wao na wameujadili uanachama wake pamoja na wenzie.