Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

Chadema na dharau kwa amri ya mahakama.

maneno ya katibu mkuu na ya mwana sheria wa chadema yana tofautiana na hicho unacho kiongea wewe.

Tundu lissu anasema kuwa zitto anaendelea kuwa mwana chama kwa sababu ya mahakama tuu, hapa ana maanisha kuwa wao kama chama wamesha mfukuza na umeujadili uanachama wake.

Dr slaa ana waagiza wana chadema kuto hudhuria mikutano ya zitto inayo andaliwa kwa jina la chadema, hapa dr slaa ana maanisha kuwa hawamtambui kama mwana chama wao na wameujadili uanachama wake pamoja na wenzie.
Zitto amepata sababu ya kurudi mahakamani kuwashitaki wabaya wake, kwa kosa la jinai (kudharau amri ya mahakama). Tusianze kuhukumu na kujadili suala lililoko mahakamani.
 
Nadhani Strategically, CHADEMA wangeahirisha kujadili hiyo na kuacha wajumbe wote wa 3 wasijadiliwe mpaka shauri la Kimahakama litakapokuwa limekwisha.

Hiyo ni strategically au ulitaka kutumia neno lingine?
 
hata akijadiliwa we unakuhusu nn? Haya basi kajadiliwa kesho katoe ushahidi mahakamani!

mkuu asante kwa kuthibitisha kuwa chadema wame jadili uanachama wa zitto kinyume na agizo la mahakama.
 
mkuu BAK asante kwa kuwaelewesha kuwa zitto amefukuzwa na bila shaka na wewe ume zielewa vyema kauli za Dr.W.Slaa na Tundu Lissu.

bora wewe umesema wazi kulingana na kauli za hao viongozi uanachama wa zitto umejadiliwa na amefukuzwa. lakini chadema wame kihuka amri ya mahakama.

Pia haikuhitaji kuwa mwana chadema kujadili mambo ya chadema.
Nenda mahakamani ukatoe ushaidi zitto kajadiliwa usilete ujinga hapa na kwataarifa yako Keshatimuliwa sasa hana Tofauti na kafulila
 
Zitto amepata sababu ya kurudi mahakamani kuwashitaki wabaya wake, kwa kosa la jinai (kudharau amri ya mahakama). Tusianze kuhukumu na kujadili suala lililoko mahakamani.

Hiyo amri ya mahakama inatamkaje?
 
Yes, they could do that, lakini kwa mawazo yangu kilichofanyika ndio sahihi ! Kikao kilishaitishwa wajumbe walikuwepo na hoja zilishapangwa, vile vile kisaikolojia nadhani imekuwa nzuri kwa wapenzi na washabiki wa CDM.........Sasa hivi hata huwezi kusikia tena zile propaganda za CCM na mashabiki wa Zitto kwamba CDM wanamwogopa Zitto ! Kwa sababu ni obvious kama si mahakama angekuwa amepigwa chini leo !

Kama CDM wangefanya hivyo unavyosuggest, hizo propaganda zingerudi kwa nguvu na magazeti yaliyokaa kiCCM yangepata nafasi nzuri ya kupiga hizo propaganda !. Vile vile hii inaset tone kwamba hata Zitto akishinda mahakamani kesho, soon or later atapigwa chini....na hiyo ni faraja sana kwetu wanachama na mashabiki wa CDM ambao wengine tulikuwa na wasi wasi kwamba Zitto anaweza kusamehewa, kitu ambacho wengine hatutaki hata kuimagine !

Nadhani Strategically, CHADEMA wangeahirisha kujadili hiyo na kuacha wajumbe wote wa 3 wasijadiliwe mpaka shauri la Kimahakama litakapokuwa limekwisha.
 
Wewe akili yako kama ya k u.k u nalabuk, huitaji akili ya kata kuelewa mamlaka iliyo nayo Institution kubwa kama CHADEMA katika kumjadili ZZK as long as still in CDM as member, hayo yaliyozungumzwa na Dr Slaa yako ndani ya Jurisdiction ya mamlaka yake ya nafasi yake,wewe unafikiri mahakama ni mbumbumbu kama wewe nalabuk acha uchochezi
 
wewe jamaa ni mjinga sana kama unamtaka zitto anzisha chama awe mwenyekiti sio ulalame kwenye keyboard nyambaf

mkuu acha jaziba. Nadhani maneno ya tundu lissu na dr slaa umeyaona na ni wazi wamemfukuza zitto uanachama na wameujadili uanachama wake hivyo wame kiuka agizo la mahakama.
 
Na kikubwa kinachomponza ni ubinafsi na tamaa...popote pale atakapoamua kwenda lazima aunde kikundi cha kumjenga yeye na kumsifiasifia hata pale asipostahili kusifiwa na hatimaye kuharibu mshikamano uliokuwepo.
 
Ahhhh, jamaa zangu wa Bukoba wanafurahisha sana. Nashukuru Mello hana tatizo hilo kwani jukwaa hili ligeliandikwa siku nyingi sana kuwa ni la SiHAsa.
Nashukuru Mwaka umeanza vizuri, vipi kwako na familia?
Hahahaaa wallah umenifanya nicheke bila chuki.

heri ya mwaka mpya Sikonge
 
  • Thanks
Reactions: bht
inaonesha wewe ni boya kweli unafikiri chadema wangejadili uanachama wa zitto leo hii huyo zitto angekuwa mwanachama wa chadema
 
Mkuu Rutta, Nimeikamata hii kabla haijakuwa deleted........vitu vinaanza ku unfold.........

"Alichoandika Zitto facebook akakifuta..

Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa
Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na
fedha za chama kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa Mkono and
Company Advocates kuhusu masuala ya
mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini
petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie
ukweli. wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu,
Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze.
Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye
mwaka 2005 kufuati deni lake NSSF. Aweke
wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba
ya Umma ilipo Club Bilicanas. They must know I
am not a push over. Chacha died, I won't.

Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake
aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu
kidole kuhusu maadili "

Dada Magdalena, ungetuwekea na picha ingependeza zaidi ili tuweze kuchochea kuni mbichi zaidi huku tukimiminia na maji mengi tukijua ni mafuta ya taa
 
wewe akili yako kama ya k u.k u nalabuk, huitaji akili ya kata kuelewa mamlaka iliyo nayo institution kubwa kama chadema katika kumjadili zzk as long as still in cdm as member, hayo yaliyozungumzwa na dr slaa yako ndani ya jurisdiction ya mamlaka yake ya nafasi yake,wewe unafikiri mahakama ni mbumbumbu kama wewe nalabuk acha uchochezi

mkuu matusi yako hayani yumbishi na wala si chochote kwangu.

Mahakama ina uwezo kuzidi hiyo institution na ndio maana hiyo institution imekatazwa kuujadili uanachama wake na ikakubali kupitia mnyika na leo kupitia dr slaa na tundu lissu wameonesha kuwa wame jadili uanachama wake na wamemfukuza.

!tundu lissu ana sema zitto anaendelea kuwa mwana chama sababu ya mahakama tuu, akimahanisha kuwa wao kama chadema walisha mjadili na kumfukuza kinyume na agizo la mahakama.

Wameenda mbali zaidi waki wasihi wana chama wao kuto hudhuria mikutano ya zitto ina maana wao kama wao walisha toa hukumu kumvua uanachama zitto ndio maana hawamtambui kama mwana chama wao na walishamjadili na kumfukuza.

Alaf cha ajabu zaidi nimemsikia lissu anasema kamati kuu imefanya uchunguzi sasa wao wao ndio wana fanya uchunguzi na hao hao ndio wanatoa hukumu.

Kwakweli nimeshangaa sana.
 
Back
Top Bottom