voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
- Thread starter
- #41
Angesema kama ulivyotamka wewe na jamii pia ingemuelewa vizuri.Mimi nilivyo muelewa Lema ni kwamba serikali Ina hesabu Kama boda boda NI ajira rasmi ili Hali haijawa secured na inauwa au kuleta ulemavu saaana kwa vijana
Lakini yeye hakitumia maneno yako bali karopoka kauli kulingana na akili pamoja na ujivuni wake!