CHADEMA na Godbless Lema jibuni kuhusu hili

Mimi nilivyo muelewa Lema ni kwamba serikali Ina hesabu Kama boda boda NI ajira rasmi ili Hali haijawa secured na inauwa au kuleta ulemavu saaana kwa vijana
Angesema kama ulivyotamka wewe na jamii pia ingemuelewa vizuri.

Lakini yeye hakitumia maneno yako bali karopoka kauli kulingana na akili pamoja na ujivuni wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…