Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi:
Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele
Ameyatamka TAL rais wa wapenda haki hapa nchini.
Katiba mpya ni sasa tuunganishe nguvu zetu.
"Tunahitaji kupambana na kulianzisha nchi nzima tumkabili Rais Samia, tumwambie bila Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu hakitaeleweka. Tukikubali kwenda kwenye uchaguzi kama ilivyokuwa mwaka 2019, na tunyamaze kimya milele," amesema Lissu.
Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Hii sasa ndiyo Ile Chadema tunayoielewa.
Tunasimama na Lissu, alipo tupo
Viva TAL. Ulipo tupo!