- Thread starter
- #21
Okay sawa, but it is wrong timing to me. Hakuna nguvu ya kupambana na kulazimisha serikali na Mama Samia afanye chochote before, during or after 2025 general election. Nothing will happen whether ni from opposition, nnjee au ndani ya Bunge. My advice ni kupambania mabadiliko Sheria ya uchaguzi angalau for opposition to have some numbers ktk bunge then at least kutakua na ushawishi, sauti na uwezekano wa kulipambania na hata kulazimisha Jambo fulani ikiwani ni pamoja na Katiba other wise at a moment Nabii Lisu is hiting out of target claiming a goal. Vyama vya siasa 22 kati ya hivyo 21 vina mtazamo sawa kimoja kinamtazamo tofauti 🤭
Inafahamika kuwa pana wana chadema uchwara wenye tamaa ya ubunge zaidi kwa maslahi yao binafsi. Kwamba hizi sababu kama zako ni zile hadithi za mbaazi kukosa maua tu.
Kuutaka ubunge kwa style hili hakuna tofauti na wana COVID 19 kukomalia bungeni Kwa sababu zozote zile wanazotoa.
Ukweli mchungu mtake mstake:
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Haya mengine ni manjonjo tu:
Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?