CHADEMA na kauli za watu tunazotaka kuzisikia


Inafahamika kuwa pana wana chadema uchwara wenye tamaa ya ubunge zaidi kwa maslahi yao binafsi. Kwamba hizi sababu kama zako ni zile hadithi za mbaazi kukosa maua tu.

Kuutaka ubunge kwa style hili hakuna tofauti na wana COVID 19 kukomalia bungeni Kwa sababu zozote zile wanazotoa.

Ukweli mchungu mtake mstake:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Haya mengine ni manjonjo tu:

Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?
 
Mbona humzungumzii Cheamani Mbowe? Au yeye ni asali tu?

Hata wewe, Samia, Joni, Jilala nk mkiongelea katiba mpya sasa, mtakuwa mmeongea lugha ya watu tutawaongelea sana tu.

Kwani tatizo liko wapi ndugu? Zoza kauli za watu nasi tuko mkao wa kula:

"Ulipo tutakuwapo ndugu Mkojo !"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…