PeterwaPerer
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 292
- 336
https://www.facebook.com/Kwa hiyo unataka kusema Oktoba 29, 2025 kulifanyika uchaguzi huru na wa haki! Na washindi wote walipatikana kihalali akiwemo yule aliyepata kura milioni 31+ (sawa na 97.66%) kati ya wapiga kura (hewa) milioni 32+ waliojitokeza siku hiyo!
Ulizisikia/ulizisoma ripoti za wachunguzi wa huo uchaguzi? Na hasa wale wachunguzi kutoka nje? Mtaendelea kutuletea maigizo yenu mpaka lini? Mnafikiri mnatawala misukule?
Hayo yite nayafahamu na kwa maoni yangu uchaguzi uliofanyika ulikuwa nibkwa mujibu wa katibaKwa hiyo unataka kusema Oktoba 29, 2025 kulifanyika uchaguzi huru na wa haki! Na washindi wote walipatikana kihalali akiwemo yule aliyepata kura milioni 31+ (sawa na 97.66%) kati ya wapiga kura (hewa) milioni 32+ waliojitokeza siku hiyo!
Ulizisikia/ulizisoma ripoti za wachunguzi wa huo uchaguzi? Na hasa wale wachunguzi kutoka nje? Mtaendelea kutuletea maigizo yenu mpaka lini? Mnafikiri mnatawala misukule?
Ndio uingie kwenye propaganda zao wakati wewe hazikusaidii chochote kwenye mbio zako za kushika dola?Swali. Kwani ukigoma kushiriki msiba wa mchawi, then ukawaona wachawi wenzie na marehemu wanakutuhumu wewe ndio mchawi, utawaacha tu wakutuhumu ili uonekane wewe ndo mchawi uliyeua huyo mchawi mwenzao?
Nadhani hilo Rais mwenyewe alilitolea ufafanuzi au unahitaji mtazamo wangu?Cdm au wewe ndio ujitambui?
Kama tume na majibu kutoka kwa tume ni ya rais, kwanini walienda mubashara?
kujadili jambo lolote lenye maslahi ya watanzania siyo kosa hata kama hulikubali. wanasema kubali kutokubaliana nayo ni hatua ya kizalendoHayo yite nayafahamu na kwa maoni yangu uchaguzi uliofanyika ulikuwa nibkwa mujibu wa katiba
Kwa namna gani au kiwango gani sio concern yangu, concern yangu ni CDM kujihusisha na jambo ambalo hawalitambui na kulifanya ni rasmi, hapo ndio natatizika na ukomavu wao
Huna akiliNimemsikia msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa miongoni mwa agenda za kamati kuu wanayokutana ni pamoja na kujadili ripoti ya tume ya Jaji Mstaafu Chande, nimeshangaa sana kwa hoja zifuatazo
1. CDM mpaka leo hawatambui kama kuna uchaguzi ulifanyika Tanzania
2. CDM mpaka leo hawamtambui Mh Rais Samia Suluhu Hassan kama Rais halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3. Tangu awali waliikataa na kuinyima uhalali tume iliyoundwa na Rais ambae wao hawamtambui na kusema hawatashirikiana nayo kwa namna yoyote
Kwa mtazamo huo wanapata wapi legitimacy ya kuijadili ripoti ambayo wao wanaita TAKATAKA? Na kuipa muda kabisa kwenye kamati kuu, chombo kinachotakiwa kujadili mambo ya kwenda mbele lakini badala yake kinakwenda kujadili mambo hewa?
Watu wenye mambo ya kitoto toto namna hii wanaweza kuendesha nchi kweli?
Au bamna agenda za kukutana wala hamna timetable ya mambo yenu?
Au ni watu wa matukio na kiki?
Utoto mtupu
Sidhani kama umeelewa nilichoandikaKwa hiyo kama kinyesi kimemwagwa ndani kwako au takataka utaacha tu ubaki na harufu? Hivi vijana wa kisasa mnatumia akili sawasawa? Kwani chadema inaishi mwezini ifunge mdomo? Na wewe una legitimacy gani ya kupangia watu namna ya kufikiria na kuongea? Umekariri maisha?
Uchafu umewamwagwa ndani ya nchi na kila wananchi ana haki ya kusema lolote ikiwemo chadema, una haki ya kukubali au kusikiliza na kufuatilia au kumsikiliza Makonda, dunia ina mambo mengi tu ya kufanya
Sidhani kama umeelewa nilichoandika
Lengo lao wapate nini? Ina mileage gani kisiasa kila mara kucheza ngoma sio yao?Kifupi umeandika ujinga tu, chadema kama watanzania wengine wana kila haki ya kuongelea uchafu wowote unaotokea ndani ya nchi yao, hamna mwenye hatimiliki ya kuzungumzia tume chafu hii na barua yao waliyomuandikia mamaduro akasome, period
So wasipoongelea unataka nani aongee? wasira? yani muue watu, muunde tume ya kisanii (toilet paper), mtengeneze barua badala na report mumpe mama yenu (in public) then mzuie na watu kuongea? Who are you?
Wewe ndio unajichanganya. Kuijadili hiyo report ndiyo kunawawezesha kuja na msimamo wa pamoja wa kuipinga.Nimemsikia msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa miongoni mwa agenda za kamati kuu wanayokutana ni pamoja na kujadili ripoti ya tume ya Jaji Mstaafu Chande, nimeshangaa sana kwa hoja zifuatazo
1. CDM mpaka leo hawatambui kama kuna uchaguzi ulifanyika Tanzania
2. CDM mpaka leo hawamtambui Mh Rais Samia Suluhu Hassan kama Rais halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3. Tangu awali waliikataa na kuinyima uhalali tume iliyoundwa na Rais ambae wao hawamtambui na kusema hawatashirikiana nayo kwa namna yoyote
Kwa mtazamo huo wanapata wapi legitimacy ya kuijadili ripoti ambayo wao wanaita TAKATAKA? Na kuipa muda kabisa kwenye kamati kuu, chombo kinachotakiwa kujadili mambo ya kwenda mbele lakini badala yake kinakwenda kujadili mambo hewa?
Watu wenye mambo ya kitoto toto namna hii wanaweza kuendesha nchi kweli?
Au bamna agenda za kukutana wala hamna timetable ya mambo yenu?
Au ni watu wa matukio na kiki?
Utoto mtupu
Lengo lao wapate nini? Ina mileage gani kisiasa kila mara kucheza ngoma sio yao?
Au wanafanya spinning kwa sababu ni miongoni mwa wahusika wakuu wa hizo vurugu na wamepenyezewa kuwa wametajwa hivyo wanawahi kujiliza liza kama kawaida yao siku zote
Au wewe ndio mshauri wao