CHADEMA na kujichanganya kwao kama watu wasiojielewa



Hata kama hupendi takataka, utaacha kuongelea takataka au hata kuzizoa na kuzitupa jalalani kwa sababu takataka umeziita takataka? Think twice if you intend to get to normality.
 

Crap from crippled brain
 
Kwani wajinga na wahalifu huwa hamuwajadili hapo kijijini kwenu?Huwa mnawapenda?Hamuishi nao?Kwa hiyo mkiwajadili ndiyo mmeungana nao?Acha ukalumekenge wewe!Kama ungo ulishavunja zamani sana.
 

Ulitakiwa wanamaze ili mlale usingizi vizuri.

Hakuna mtu asiye na legitimacy ya kuichambua report..... Report ni lazima waichambue waonyeshe ni jinsi gani CCM inatawala kwa ulaghai.

Unataka waseme picha zilipigwa GAZA watu wakae kimya tu kwa vile ni Chadema...!!?
 
Wataweka vithibitisho au ni maneno tu


CDM ni watuhumiwa wa vurugu wasubiri tume jinai
 
Kila mtu anafahamu kuwa kulikuwa na massacre, na hiyo tume ya Chande(Samia) ilijikita hapo hiyo kila mtu anapaswa kuzichambua. Bora ungelalamika kwanini inachambuliwa ilhali Samia akidai ripoti ya tume ni 'mali' yake binafsi na haimuhusu binadamu mwingine yoyote lakini pia jibu lake ni kwamba ilikuwaje sasa wakau-brief umma kile kilichopo kwenye ripoti hiyo uchwara(we all know walifanya hivyo kupima upepo wa reactions na wameupata haswa na nyimbo zimetolewa).
No wonder hakuna mtu mwenye common sense anayeweza kuwa chawa, kitu straightforward kama hiki umeshindwa kuelewa?
 
Kwa nini wasubiri tume. Si wawakamate sasa na kuwafungulia kesi.
Kila kitu kina utaratibu wake

Mtu mwenye akili timamu unadhani anaweza kukubari kuwa tume haiwajui au haikuwataja?

Chadema ni mabingwa wa kujiliza liza mitandaoni hivyo wanatafutiwa angle ambayo hawatachomekea chochote

Ukiwa narrow minded huwezi kujua haya
 

Makosa makubwa kama hayo yanasubiri utaratibu..!? Yaani vyombo vya ulinzi vinategemea tume? Only in Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…