Baba Collin
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 456
- 58
Wewe bila kuangalia ishu ya kupona kwenye uchaguzi mdogo, unaona walichofanya ni sahihi?Wakuu mliopo Atown hivi hali ya kisiasa imekaa vipi huko kama kesho kamati kuu ya Chadema itaamua kuwafukuza wale madiwani6 wanaosemekana wamewasaliti Chama?Chadema watapona kweli ktk uchaguzi mdogo?
chama siyo diwani na vipo vyama havina madiwani
Nimeipenda hiyo kwenye bold.Wewe bila kuangalia ishu ya kupona kwenye uchaguzi mdogo, unaona walichofanya ni sahihi?
Wanapaswa kuhukumiwa kwa walichotenda na si aftermath itakayotokea...Ni bora kuwa na madiwani waaminifu wa ccm kuliko kuwa na vigeugeu wa cdm!
Asikudanganye mtu chama ni wanachama hata wakienda NCCR kama hawana wanachama huko wapiga kura watarudishwa na nani.Pona ya Chadema,ni viongozi wa ngazi za juu,kuja hapa na kuwaelewesha wananchi!Bila hivyo,hawa jamaa wakiamua kuhamia chama kingine cha upinzani,.....say TLP AU nccr ambako wengine walitoka huko basi wanaweza kurudi madarakani na vigeugeu vyao.PIA KWA HALI YOYOTE ILE CHADEMA KURUDISHA KATA ZOTE NI NGUMU KIDOGO!
Chadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,
Pona ya Chadema,ni viongozi wa ngazi za juu,kuja hapa na kuwaelewesha wananchi!Bila hivyo,hawa jamaa wakiamua kuhamia chama kingine cha upinzani,.....say TLP AU nccr ambako wengine walitoka huko basi wanaweza kurudi madarakani na vigeugeu vyao.PIA KWA HALI YOYOTE ILE CHADEMA KURUDISHA KATA ZOTE NI NGUMU KIDOGO!
Mkuu si nimesikia uongozi wa Arusha umejiuzulu wote?Chadema Arusha,kipo imara,na kitaendelea kuwa imara tumejidhatiti sana,
Hayo ni maoni yako ila jana nilipita mtaa wa philiops bendera za cdm zinapepea kila kona..wana arusha tupo makini sio kama vigeugeu magamba..Pona ya Chadema,ni viongozi wa ngazi za juu,kuja hapa na kuwaelewesha wananchi!Bila hivyo,hawa jamaa wakiamua kuhamia chama kingine cha upinzani,.....say TLP AU nccr ambako wengine walitoka huko basi wanaweza kurudi madarakani na vigeugeu vyao.PIA KWA HALI YOYOTE ILE CHADEMA KURUDISHA KATA ZOTE NI NGUMU KIDOGO!