kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 239
CDM inabidi watume ujumbe imara kwa mamluki wa leo na siku zijazo. Busara za leo ndizo zinazojenga busara za kesho. Sheria hufuatwa ikivunjwa lazima iwe na adhabu na ili kuelewana ni kutopindisha sheria, huruma za uso zinazaa mauti. Taratibu zote zikifuatwa ikaonekana madiwani kwa makusudi wamekosea na wao wamegoma kukiri kukosa, kujiuzulu mgawo wa madaraka, kutokutii katiba ya chama na maelekezo ya chama. Kuna kila sababu za kuwafukuza kwani hapo hawatumikii chama wala wananchi waliowachagua wenye mapenzi na CDM.