kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 239
<br />Hapo mzee umenena, ukipita vijiweni na maeneo mbali mbali ya mji wa Arusha na viunga vyake utagundua hapa umaarufu ni chama zaidi kuliko watu/viongozi kinachotakiwa ni kulinda kura tu uchaguzi wowote utakaofanyika
<br />bendera zinapepea!!! ni matawi au urembo?
ndugu, una chuki na mzee Slaa?Bila shaka wataamua kama anavyohitaji Slaa.
Chama siyo diwani na vipo vyama havina madiwani
Acha hasira kwani slaa na wewe mpoje? please declare hizo interest sisi tunaona hivyo kwa uhusiano wa matukio na maamuzi mengi ya hovyo yayotolewa kwa mtu kukomaa na mishipa kumtoka kama makamba vilendugu, una chuki na mzee Slaa?
Umeambiwa kamati kuu wewe unasema Slaa? Au yeye ndio kamati kuu? Control yourself and give something constructive
BTTT,
kuna katiba sheria na taratibu. Ni vema CDM mkafuata hizo na si vinginevyo. Ni legacy nzuri chama kufa kwa kufuata haki na taratibu kuliko kuishi kama genge la wahuni.
Blessing...
HT
kwani yeye peke yake ndiye mjumbe wa kamati kuu? Kwa nini sio wengine bali Slaa?Slaa ni mjumbe,kama Katibu Mkuu anainfluence ndani ya kamati kuu hivyo sidhani kama nimekosea.Nasema hivyo kwa sababu matamko yake dhidi ya hawa madiwani yalikuwa as if Kamati Kuu ilikuwa imeisha kaa.Hawezi kuprove wrong kama alivyokuwa ametamka awali,hivyo he has got the role to play in the Central Commettee.