CHADEMA na Siku Maalum ya Dua, Sala na Shukrani nchi nzima

Nashukuru Mungu nimetimiza wajibu wangu huu siku ya leo.

Nimemuomba Mungu juu ya Afanye, Awezeshe na Abariki, Tundu Antiphas Lissu ashinde na kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025, pia nimemuomba Chadema ushinde uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa Chama tawala Tanzania 2020-2025. Nimemuomba Mungu afanye, awezeshe na abariki Maalim Seif wa ACT wazalendo ashinde na kuwa Raisi wa Zanzibar 2020-2025 na ACT Wazalendo kiwe Chama tawala Zanzibar 2020-2025.

Kwa Jina la Yesu, Bwana, Mungu na Mwokozi wetu, amina.
 
Na iwe hivyo.
 
Mashetani nayo hufanya dua. Mungu ameiepusha Tanzania na meno yenu yenye uchu wa madaraka.
We shindwe na ulegee!! usiwaite watu mashetani ili tu, uwalidhishe walikutuma! hivi huwa mkiwa ccm akili mnaziacha chooni!! unawezaje kuwaita watu walioumbwa na Mungu mashetani!! Shetani ni wewe na wazazi wako waliokuzaa!! jinga kabisa wewe!!
 
Mungu ni mwema nimetimiza wajibu wangu kwa sala.
1. Nimeomba haki itendeke
2. Nimekataa walioingia kwa rushwa hasa kuhonga wakurugenzi ili ashinde yeye
3. Polisi wafanye haki na wasitumike

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Namuomba Mwenyezi Mungu aipokee dua yako , Amina
 
Duh
Huyo mtalii wenu.. ametubu!! Maana alimkejeli sana Mwenyezi Mungu.. kipindi Rais jembe duniani Magufuli akismamie covid19 nchini na kutuhamas8sha tusali na kusali bila kuchoka.

Magufuli 2020💯
 
Duh
Huyo mtalii wenu.. ametubu!! Maana alimkejeli sana Mwenyezi Mungu.. kipindi Rais jembe duniani Magufuli akismamie covid19 nchini na kutuhamas8sha tusali na kusali bila kuchoka.

Magufuli 2020💯
Kumbe bado upo, I thought you are already dead! sikuoni JF
 
Jifunze mipaka yako, sala haielekezwi kwako au kwa huyo ‘mponya’ korona wako, unaye mwabudu! Na kwa sababu yesu wenu wa lugola anaponya sana, Kwanini msiondoe na malaria?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…