Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

Wanamtaka Tulia kuwa full spika
Vijijini kugumu kuna wazee wakisema ndilo hufanyika Mjini ndiyo mabavu hutumika
 
Mmh! Ninavyofahamu mm muhimili wa mahakama ulianza kuingiliwa tangu kipindi kile tulipokaa mwaka mzima muhimili huo ukiwa chini ya kaimu jaji mkuu.

Ndiyo maana mahakama inaweka zuio la kubomoa nyumba lkn watendaji wa serikali wanazibomoa. Na hakuna fyoko kutoka mahakamani dhidi yao.
 
Mahakamaccm,
 
Chadema ni nani na Ukawa ni nani?

Tetesi nyingine ukizipata unapaswa kuwa wa kwanza kuzipuuza tu.

Hapo mleta tetesi ungejiridhisha kwanza kujua CHADEMA ni nini na UKAWA ni nini.
 
maandamano muhimu, bila hivyo haki itasiginwa
 
Jaribuni muone moto wa kifuu
 

kwann asipewe dhamana na wakati ni haki yake acha kutumia tumbo
 
Due kweli chadema na ukawa kwisha kazi. Hamna mawakili kabisa wa kujenga hoja za kisheria hadi maandamano. Kazi zipo. Mmeambiwa mahakama haziingiliwi na siasa; kajengeni hoja either za kumkataa hakimu ama jaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…