Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

Tetesi: Chadema na UKAWA mkoani Mbeya kuandamana kupinga muhimili wa mahakama kuingiliwa

Wanamtaka Tulia kuwa full spika
Vijijini kugumu kuna wazee wakisema ndilo hufanyika Mjini ndiyo mabavu hutumika
 
Mmh! Ninavyofahamu mm muhimili wa mahakama ulianza kuingiliwa tangu kipindi kile tulipokaa mwaka mzima muhimili huo ukiwa chini ya kaimu jaji mkuu.

Ndiyo maana mahakama inaweka zuio la kubomoa nyumba lkn watendaji wa serikali wanazibomoa. Na hakuna fyoko kutoka mahakamani dhidi yao.
 
Mahakamaccm,
 
Chadema ni nani na Ukawa ni nani?

Tetesi nyingine ukizipata unapaswa kuwa wa kwanza kuzipuuza tu.

Hapo mleta tetesi ungejiridhisha kwanza kujua CHADEMA ni nini na UKAWA ni nini.
 
Amani iwe nanyi, tetesi zilizonifikia hivi punde ni kwamba vyama vinavyounda ukawa vikiongozwa na chadema vimepanga kuitisha maandamano ya amani mkoani hapa ili kupinga vitendo vya wanasiasa(ccm na serikali) kuingilia Uhuru wa mahakama na kuwa juu ya sheria kwa kuwaelekeza mahakimu kuwanyanyasa viongozi wa upinzanini na kuwafunga jela.

Aidha kumekuwepo na tetesi kwamba hakimu mfawidhi mahakama ya mbeya ameshinikizwa awafunge kifungo kirefu mh sugu na katibu wake ili apoteze sifa za kuwa mbunge na ufanyike uchaguzi mdogo licha ya jaji mkuu kiongozi kutoa onyo juzi tu.
Jaribuni muone moto wa kifuu
 
Tukiwambia UKAWA ni taka taka mnaanza kulia... sasa mna anadamana nini ikiwa kesi iko mahakamani? ni nani ameingilia uhuru wa mahakama? Hivi nyie mnavyotaka kuandamana ili kushinikiza hamuingilii uhuru wa mahakama?
hahahahaha tuna wasubiri muandamane..........

kwann asipewe dhamana na wakati ni haki yake acha kutumia tumbo
 
Due kweli chadema na ukawa kwisha kazi. Hamna mawakili kabisa wa kujenga hoja za kisheria hadi maandamano. Kazi zipo. Mmeambiwa mahakama haziingiliwi na siasa; kajengeni hoja either za kumkataa hakimu ama jaji.
Amani iwe nanyi, tetesi zilizonifikia hivi punde ni kwamba vyama vinavyounda ukawa vikiongozwa na chadema vimepanga kuitisha maandamano ya amani mkoani hapa ili kupinga vitendo vya wanasiasa(ccm na serikali) kuingilia Uhuru wa mahakama na kuwa juu ya sheria kwa kuwaelekeza mahakimu kuwanyanyasa viongozi wa upinzanini na kuwafunga jela.

Aidha kumekuwepo na tetesi kwamba hakimu mfawidhi mahakama ya mbeya ameshinikizwa awafunge kifungo kirefu mh sugu na katibu wake ili apoteze sifa za kuwa mbunge na ufanyike uchaguzi mdogo licha ya jaji mkuu kiongozi kutoa onyo juzi tu.[/QUO
 
Back
Top Bottom