Tetesi: CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
2,201
Reaction score
3,703
Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29.

Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI
LEMA ataratibu CANADA
US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO.

Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao.

Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu fulani. Vijana hao watatumika kuandamana kuelekea balozi mbalimbali nchini Siku ya uchaguzi.

Vikao vyote mtaachwa mtafanya ila sina hakika kama serikali itaruhusu hilo. Tutegemee kundi kubwa la wanachama na viongozi kukamatwa siku za karibuni. Hawa ni waratibu wa kanda na wilaya hadi kata.

Kwa ufupi lengo ni ovu na lenye maslahi kwa watu wachache sana ndani ya chama ila watatumika watanzania na wakenya kufanikisha hilo.

Nyaraka zote za siri zishavuja, mipango yote iko wazi wanawaangalia tu.
 
Mbona mpango wa kuandamana wanautangaza wenyewe kila siku?
 
Leo nimeulizwa na mt anauliza eti tarehe 29 kuna maandamano tena na uchaguzo haupo? Nikauliza kwanini akasema jana nilisikia kwenye kampeni Samia akisema na leo nimewasikia waalimu wanasema kuna maandamano makubwa.

Hii ina maana ccm mnayatangaza sana hadi huko nyambiti watu wameshajua
 

No reform no election ina siri gani🤦🏾‍♂️😂😂😂
 
Yani maandamano wapange wananchi alafu uje kushutumu chama , chadema ni chama kama vyama vingine ambapo kuna wafuasi ambao ni wananchi , sioni sababu ya kuitaja chadema , hata ccm maandamo yakifanyia kuna ambao wenda wakawa front.

Aya uko nje ya nchi wametangaza kuandamana kwenda kwenye barozi zetu ,je nayo utasema ni chadena?

Tupunguze ujinga kwenye mambo serous
 
ccm wenyewe wanayatangaza kwa nguvu zote haya maandamano, tena wakisaidiwa na vile vyama vinavyogombea. Wanasema kutakuwa na maandamano na kuwaambia wananchi wasijitokeze kwenye maandamano hayo bali waende kutiki.
 
Mtahangaika sana; lakini hakuna msaada tena kwenu. Tanzania siyo '"Banana Republic" mnayotaka kuiendeleza hapa.

Ulivyo kilaza, hata kutunga habari ya uongo ionekane kuwa na ukweli ndani yake inakupa shida sana!
 
Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu fulani. Vijana hao watatumika kuandamana kuelekea balozi mbalimbali nchini Siku ya uchaguzi.
"...nyumba za ibada za dhehebu fulani..."; mtu mwenye akili timamu, unaye jitambulisha wewe kuwa mTanzania mpenda nchi yake; unakaa chini na kutunga habari za aina hii; unalitakia nini taifa hili?

Mkiachiwa hii nchi nyinyi wenyewe, watu wa akili kama zako; unadhani kutakuwepo na nafuu ndani ya nchi hiyo?

Sasa ni wazi, kuendelea kuwepo madarakani kwa nguvu kwa Samia kutawapa nguvu sana watu kama wewe. Hiyo Tanzania itakuwa ni nchi ya namna gani hiyo?
 

..acha UONGO.

..Ngurumo anapinga " nrne. "

..uchaguzi mkuu ni kwa ajili ya Mama Abduli na genge la watu wachache.

..Oct 29 mtajichagua wagombea na mawakala wenu, hakuna mtu atapiga kura.
 
Watu wengine pumbavu sana,
Badala uandamie kuikimbiza shilingi unajaza server hapa kuandika mambo yasiyowezekana.
Maria,Mange, huwaoni popote siku hiyo.
Zimebaki siku 15, muende kuvunjwa ugoko nyau nyie.
 
We Mjinga, kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
 
Una mavi na siafu kicwani mwako. You were conceived on a quid and your mother drunk it! Poor you!
 
Mna ujinga mwingi sn nyie!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…