Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ujinga wa maandamano ni vurugu, kama una biashara yako watapora, watavunja, wataiba nk
Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29.
Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI
LEMA ataratibu CANADA
US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO.
Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao.
Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu fulani. Vijana hao watatumika kuandamana kuelekea balozi mbalimbali nchini Siku ya uchaguzi.
Vikao vyote mtaachwa mtafanya ila sina hakika kama serikali itaruhusu hilo. Tutegemee kundi kubwa la wanachama na viongozi kukamatwa siku za karibuni. Hawa ni waratibu wa kanda na wilaya hadi kata.
Kwa ufupi lengo ni ovu na lenye maslahi kwa watu wachache sana ndani ya chama ila watatumika watanzania na wakenya kufanikisha hilo.
Nyaraka zote za siri zishavuja, mipango yote iko wazi wanawaangalia tu.
Waislam amna conspiracy theories za kipumbavu sana, hapo unataka kulihusisha hili jambo na viongozi wetu wa dini.Nyuma ya huo mpango uchafu ni mwingi kiongozi
Waislam amna conspiracy theories za kipumbavu sana, hapo unataka kulihusisha hili jambo na viongozi wetu wa dini.Nyuma ya huo mpango uchafu ni mwingi kiongozi
Inavyoonekana huko mbele kama huyu mdhalimu atapita salama, suala la mauaji litahalalishwa kabisa japo katika namna isiyokuwa rasimi.."
Sasa ni wazi, kuendelea kuwepo madarakani kwa nguvu kwa Samia kutawapa nguvu sana watu kama wewe. Hiyo Tanzania itakuwa ni nchi ya namna gani hiyo?
Nimesoma hilo gazeti la huyo Shekh nikitarajia nitakutana na sehemu ambayo anakemea huu utekaji na mauaji yanayoendelea kwa sasa lakini sijaona kabisa, licha ya kwamba waraka mzima unahusu "amani" ya nchi, yaan neno "amani" hapo limetajwa zaidi ya mara nne ila hakuna sehemu hata moja alipogusia hali ya kiusalama iliyopo nchini kwa sasa as if haya matukio yanayoendelea hayaoni...!! Mjinga kweli huyo shekh.Amani ya nchi kwanza
Acheni Tabia hii ya kujaza watu upumbavu bila sababu , mnafanya hivi je mnajua damage mnaitengeza katika Taifa?Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29.
Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI
LEMA ataratibu CANADA
US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO.
Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao.
Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu fulani. Vijana hao watatumika kuandamana kuelekea balozi mbalimbali nchini Siku ya uchaguzi.
Vikao vyote mtaachwa mtafanya ila sina hakika kama serikali itaruhusu hilo. Tutegemee kundi kubwa la wanachama na viongozi kukamatwa siku za karibuni. Hawa ni waratibu wa kanda na wilaya hadi kata.
Kwa ufupi lengo ni ovu na lenye maslahi kwa watu wachache sana ndani ya chama ila watatumika watanzania na wakenya kufanikisha hilo.
Nyaraka zote za siri zishavuja, mipango yote iko wazi wanawaangalia tu.
Hapo Sasa ndo watu wanahoji kwanini kuwe na maandamano . Moja Kwa Moja akikutana na mtu mwenye kuelezea Negativity za Samia mtu haendi kupiga kura hata hivyo iwe mjini au kijijini watakaoenda kupiga kura ni wale wagombea wenyewe na baadhi ya ndg zao wa karibuccm wenyewe wanayatangaza kwa nguvu zote haya maandamano, tena wakisaidiwa na vile vyama vinavyogombea. Wanasema kutakuwa na maandamano na kuwaambia wananchi wasijitokeze kwenye maandamano hayo bali waende kutiki.
Wew hizi tuhuma huna ushahidi wowote acha porojoNyuma ya huo mpango uchafu ni mwingi kiongozi
Kelele we KIMA 💩🐒🦍🦧🐒🐒🐒🐒Na sura hilo ka Shimo la KUND* la babaako wazi💩💩💩💩💩💩💩💩💩Wewe kum@ , shilingi gani uunakimbiza wewe ***** ? ,wewe unatulisha au kutuvisha ***** wewe ? , unakimbiza shilingi kwenye mavuzi ya mama yako wewe shoga na huku CCM wanaprint pesa kama toilet papers na kuleta inflation. Bado ufisadi wa kutisha na Corruption iliyozidi viwango + ukatili na mauaji ya raia