Tetesi: CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29

Post uchwara , naona umetumwa kupima upepo mkiwa mnafanya maandalizi ya kuwaweweka gerezani viongozi wa CHADEMA hadi uchafuzi uishe.

Wewe hujui Ngurumo haungi mkono NRNE maana ni team ya Mbowe?

Halafu hata uongo uliotunga unakusaliti kwa USA anaratibu vipi Mange na Ngurumo wakati Ngurumo yuko Finland.

Pia CHADEMA haijatangaza maandamano yoyote na Maria Sarungi na Mange sio wanachama wa CHADEMA.
 
Sawa ndugu chawa wewe utaanzia safari wapi?
 
Amani ya nchi kwanza
 

Attachments

  • 583319c0e3ca4061b4808b69a059c87e.jpg
    108.6 KB · Views: 26
Kum@ la mamako, ***** wewe
 
Japo ni uzushi, lakini hata kushirikiana na shetani ni sahihi kabisa kwa maovu yanayoendelea nchi hii chini ya utawala huu wa CCM.
 
Huu ni unafikiii na uzandiki mkubwa saana . Mabeberu wanaungana kumkabili myonge ila myonge nae anaungana na beberu kumkabili myonge mwenzio. Hakika ukombozi wa hii nchi utachukua muda mrefu saana
Kama tukiwa na watu wa namna hii.
 
Naona wasiotaka haya maandamano ndio wanayatangaza zaidi kwa kifupi wameungana na wanaotaka maandamano.
 
Mwambie Bwana wako ,liweke jua au Inyeshe mvua tutaandamana na tutakinukisha haswa
 
Mzenji usiye na Akili.
 
Technically sidhani kama CCM ile nayoijua ingefanya kosa la dhahiri kiasi hichi (Kuifungia Chadema na kumfunga Lissu)..

Walikuwa wanategemea nini?wakae kimya kama kondoo?

Hii ni ile story ya kujifungia na paka ndani sababu ni mdogo ili ummalize kirahisi, nadhani ilipaswa kuwa hivi sababu wananchi wanaona uovu na ukatili wa wazi wa dola na hawana wa kuwasemea sababu wamefungiwa na wengine wanatekwa na kuuwawa kila siku!

Siasa ni sayansi n sayansi ni ukweli, CDM itadhaniwa ndio adui mkuu,kumbe ni mistakes za CCM wenyewe!
 
Unajua sijui kwa nn mnahangaika na chadema
Mm naona ni gen Z ndo wanaratibu kila kitu lkn nyie mnahangaika na chadema
Viomgozi wa chadema kuweni smart, msijiingize ktk huu ujinga
 
Aya maandamano sio ya Chadema na sio chadema popote wakipigia upatu aya maandamano hata kama sio leo kitu ambacho nina uhakika nacho Tanzania itakuja kutokea maandamano makubwa sana hata kama miaka 20 ijayo trust me kwasababu katiba ya Sasa haiendi na wakati na sioni mtu wa kuleta katiba kutokana na Uchafu wa Viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…