Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Du....hayo ni ya kwako mkuu!Sisi tunanyukana hadharani sio kama ninyi mpaka muandikiwe kitabu cha Mwenyekiti kitaka kumbaka makamu wake gizani
Sio yangu mimi ningeyajuaje bila Kitabu kuandikwa.Du....hayo ni ya kwako mkuu!
Haya bwana....lakini uliyoyadadavua si sera ya chama chetu wala hayajadiliwi sehemu yoyote ya chama.Sio yangu mimi ningeyajuaje bila Kitabu kuandikwa.
Sisi CHADEMA tunafanya mambo yetu kwa UWAZI tuunapenda UWAZI na UKWELI kama ni kunyukana tinanyukana hadharani ili Wananchi na Wanachama wote waone who's right.
Mwenyekiti kwenda na Pajama kwa makamu wake bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu Chama gani hicho au ni genge la WalaRushwa.Haya bwana....lakini uliyoyadadavua si sera ya chama chetu wala hayajadiliwi sehemu yoyote ya chama.
Afadhali kwa cdm hata tuona ladha ya ushindani wa kisiasa, chama cha vyombo vya dola sasa, wao ni ndio mzee. Na kusubiri kutangazwa washindi kwa kura za mizengwe.View attachment 3196700
CHADEMA imeuonyesha ulimwengu mzima jinsi ilivyo chama cha kitoto.
Panzi wawili, Mbowe na Lissu wako busy kutukanana, kusutana, na kurushiana vijembe hadharani katika kuwania uenyekiti wa chama.
Wenzao CCM hatua hii huwa inafanyika hata kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama, wakienda kuchagua mwenyekiti wao huwa wana a unanimous decicion.
CHADEMA wachanga wa kuendesha vyama wanaparurana hadharani kama hawana akili nzuri, na mparaganyiko wa chama hauko mbali. Matokeo yake Kunguru-CCM atawala wote.
Mark my words.
Hilo nalisikia kwako na mwandishi, sijui alikuwa amejibanza wapi?Mwenyekiti kwenda na Pajama kwa makamu wake bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu Chama gani hicho au ni genge la WalaRushwa.
Ushindani wenu unakipasua chama wewe subiri tu!Afadhali kwa cdm hata tuona ladha ya ushindani wa kisiasa, chama cha vyombo vya dola sasa, wao ni ndio mzee. Na kusubiri kutangazwa washindi kwa kura za mizengwe.
Siri ni mtu mmoja ikishakuwa ni watu kadhaa lazima ivuje.Hilo nalisikia kwako na mwandishi, sijui alikuwa amejibanza wapi?
Turudi kwenye mada!Siri ni mtu mmoja ikishakuwa ni watu kadhaa lazuma ivuje.
Mkishughulikiwa mnaleta lawama kibao, ndo nin uneandikaSisi tunanyukana hadharani sio kama ninyi mpaka muandikiwe kitabu cha Mwenyekiti kutaka kumbaka makamu wake gizani
CHADEMA kitatoka kwenye uchaguzi huu wa mwenyekiti kikiwa ni imara sana haswa haswa Lissu akishinda kihalali.Ushindani wenu unakipasua chama wewe subiri tu!
Sisi tunanyukana hadharani sio kama ninyi mpaka muandikiwe kitabu cha Mwenyekiti kutaka kumbaka makamu wake gizani
Umuache Erick Kabendera unishughulikie mimi niliyemnukuu utakuwa ni uhayawani.Mkishughulikiwa mnaleta lawama kibao, ndo nin uneandika
Hamtegemei kura za Wananchi mnachotegemea ni vyombo vya Dola kuwaweka madarakani hamna UHALALI wowote wa kujiita viongozi wakati mumeingia kwa ubabe.ila safi sana ili CCM tuwapige vizuri
Wamekosea sana ni basi tu.View attachment 3196700
CHADEMA imeuonyesha ulimwengu mzima jinsi ilivyo chama cha kitoto.
Panzi wawili, Mbowe na Lissu wako busy kutukanana, kusutana, na kurushiana vijembe hadharani katika kuwania uenyekiti wa chama.
Wenzao CCM hatua hii huwa inafanyika hata kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa chama, wakienda kuchagua mwenyekiti wao huwa wana a unanimous decicion.
CHADEMA wachanga wa kuendesha vyama wanaparurana hadharani kama hawana akili nzuri, na mparaganyiko wa chama hauko mbali. Matokeo yake Kunguru-CCM atawala wote.
Mark my words.