CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake - Ni vipi?


Amenyimwa. Ameambiwa TANESCO wana mpango wa kuweka umeme hivyo hawahitaji umeme wake. Nguzo chache zikawekwa chapchap halafu hamna kinachoendelea. Afunge kesi gani? ya TANESCO kuchukua muda mrefu kutimiza ahadi yake?



Pesa za Ndesa ndio za Chadema? nazungumzia Chama sizungumzii mtu mmoja mmoja. Kwani Tanzania Daima ni mradi wa Chadema?

Na mimi sizugumzii mtu nazungumzia chama. Ndesa hakukwamishwa kama Ndesa, alikwamishwa kwa kuwa credit ingekwenda CHADEMA. Ndesa angekuwa CCM asingebabaishwa kupewa vibali.


Ni mifano mfu.

Asante, mifano hai ndiyo ipi hiyo?

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…