CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake - Ni vipi?

CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake - Ni vipi?

Marehemu Lujuna Balonzi, Wakili wa kujitegemea alifungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya CCM na mali za wananchi walizopora na kuziita za kwake lakini kama kawaida na kama ilivyotegemewa hiyo kesi haikuweza kufika popote. Kwa katiba tuliyonayo na kwa kuzingatia mfumo tulio nao, Chadema ni busara isisumbuke kuanzisha kitega uchumi chochote kwa sasa hivi kwa sababu hapo watakuwa wanakipa CCM fimbo ya kuwachapa nayo - mizengwe.

Sababu kubwa ya serikali ya CCM kukataa wagombea binafsi ni woga wa kujitokeza kwa wafadhili wakubwa watakaomwezesha mgombea kifedha kiasi cha kutotegemea ruzuku ya serikali. Vivyo hivyo kwa vyama vya Upinzani, serikali ya CCM haiwezi kufurahi kuviona vinashamiri na kujitosheleza kifedha. Uanzishwaji wa hivyo vitega uchumi utahitaji baraka za serikali hiyo hiyo na hapa ndipo kuna hatari - refa na mchezaji kuwa upande moja.
 
siyo kwamba chadema hawana hela, nafikiri hili unaloliona wewe wenyewe walikuwa hawajaliona kama ulionavyo, mbona wako na huwezo wa kununua helicopter za kutumia kwenye kampeni, nina imani haya maswali uliyoyauliza watakaa chini na kuanza kujipanga, siyo lazima sijui hospital ama shule, wanaweza hata kuanzisha saccos ndogo ndogo za kukopa na kurejesha kwa masharti nafuu kwa huko vijijini. mambo madogo madogo wako na huwezo wa kuyafanya bila ya kuwa madarakani
 
sorry to say it lakini haya majibu yako ni ya ovyo ovyo. Why I'll ask you below
ndiyo wanavyo!?

Subsenciate

Irrelevant!?

You questions then are irrelevant. Kawaida mtu akishindwa hoja anakuwa mkali

Kama siyo wangejitokeza watu kushtaki kuudai urudishwe kwa umma; hawajajitokeza so.. yes ni wa CCM de facto.?
Hili umejibiwa na Mag3 tena kwa records. Lakini kwa sababu zako hata hutaweza kujisahihisha.

kwani mtu akitaka kushinda uchaguzi si lazima apate kura? Sasa kura zinapatikana vipi kwa kuteremshwa mbinguni kama mana jangwani? Kama hawana mtaji wametafuta wakakosa au wanasubiri kudra?
Hizo labda kura z kununua
Tupe uhusiano wa kura na vitega uchumi

Na wasipokuwa mafisadi je?
Umekuwa Sheikh Yahya?

Kwa ujumla hapa huna hoja.
 
Are you kidding me? a break from what?

Mwanakijiji, Please don't hang on their neck! I you wish to give them a hand, please do! If you don't let them try.

Kama ni wachanga kwanini wanataka kupewa madaraka makubwa ya kuongoza nchi? Kama ni wachanga basi waachwe wakue kwanza!

Yes Chadema ni wachanga, kama ilivyo kwa Daudi na Goliath, Chadema ni Daudi, CCM ni Goliath, I belive one day, with the help of God, Goliath will fall again!.

Kuna mtu amelalamika hilo au kushinikiza hilo likashindikana zaidi ya kutuonesha ukweli ambao wengi tumeujua miaka nenda rudi?

Kwa hiyo kwa vile hakuna aliyelalamika that makes wrong move right? Kelele za nini kuhusu RA na Kagoda?. Nani amelalamika mahali zaidi ya kujaza bandwidth?.

Inategemea nani amevaa glovu kati yao!
Irelevant, glove gani itashindana na upanga wa makali kuwili, Chama Dola, na Dola Chama!

Yaani hadi wanasheria "mahiri" wajitokeze? Huko Chadema hakuna wanasheria wa aina hiyo! Leo hii imefunguliwa kesi ya Kikatiba ya kupinga sheria ya Madini ya 1998 na kampuni binafsi ya uwakili, Chadema imejiunga kwenye kesi hiyo ikiwa na maslahi ya kisiasa? Hapana..! why?
Ka walivyo chama chao, walionao pia ama bado wachanga, ama bado sio mahiri kiwango cha kujaribu kushika kwenye makali kugombea hicho kisu.
 
Hakuna mahali popote duniani imewezekana kutenganisha siasa na biashara...what we need to do is to dialogues with business including its corrupt elements.
 
Mzee,ni swali katika muda muafaka ni muhimu pia kuvipima hivi vyama katika angle ya management of investment na decision making in economical matter kabla ya kuwapa linchi letu
Umenifanya nianze kufikiri kiupana zaidi thanx Mzee!
 
sorry to say it lakini haya majibu yako ni ya ovyo ovyo. Why I'll ask you below

Subsenciate

You questions then are irrelevant. Kawaida mtu akishindwa hoja anakuwa mkali

Hili umejibiwa na Mag3 tena kwa records. Lakini kwa sababu zako hata hutaweza kujisahihisha.

Tupe uhusiano wa kura na vitega uchumi

Umekuwa Sheikh Yahya?

Kwa ujumla hapa huna hoja.

Mkuu kuna mchango wowote ambao umeshawahi kuwapa Chadema uwasaidie kwenye kampeni au shuguli zao za kila siku? kama hujawahi kutoa na hawana vitega uchumi watawafikiaje wananchi?

Kama hujawahi kutoa please kesho peleka wanahitaji sana fedha

Kuna wakati nilimshauri Zitto kuwa je Chadema ina hakika ikisema leo haina pesa wananchi wako tayri kukaa na njaa ili fedha ziende Chadema, tusipofikia hapo basi, bado sana kuwaaminisha wananchi

Hii kila siku kulaumu na kusema CCM walichukua mali zote ni kupoteza muda, tutalaumu mpaka lini? nani kaenda kudai hizo mali? lini na how?

wakati vyama vinaanzishwa havikujua kuwa vitahitaji vitega uchumi na ya kuwa CCM wanavyo vingi sana.

Mbowe amekikopesha Chadema fedha nyingi sana, na leo akisema achukue fedha zake pale Chama kimekufa! na hii ni hatari sana, anaweza kuandika urithi Chadema ikarithiwa na vizazi vyake!

Mbowe anaweza kufanya lolote ndani ya Chadema maama fedha ipo! ila chama hakina kitu, ruzuku msiulize, kwanini watu kama akina Slaa 'wasiseme ewala mwenyekiti'

Kama hujui nguvu ya fedha kawaulize CCM na RA wao! wote kimya!!! kuanzia mkuu wa kaya

Tukaneni ukweli ndio huo, hii siyo challenge kwa wana JF tu, Slaa, Zitto n.k we need your statement.I remain to be corrected
 
siyo kwamba chadema hawana hela, nafikiri hili unaloliona wewe wenyewe walikuwa hawajaliona kama ulionavyo, mbona wako na huwezo wa kununua helicopter za kutumia kwenye kampeni, nina imani haya maswali uliyoyauliza watakaa chini na kuanza kujipanga, siyo lazima sijui hospital ama shule, wanaweza hata kuanzisha saccos ndogo ndogo za kukopa na kurejesha kwa masharti nafuu kwa huko vijijini. mambo madogo madogo wako na huwezo wa kuyafanya bila ya kuwa madarakani

wameshindwa kuanzisha SACCOS ya wanachadema? Kuagiza Helikopta na kuanzisha mradi wakusaidia wananchi ni kipi kinaonesha uongozi?
 
KUjaribu kubebesha kila lawama kwa CCM ni kujifanya watu mbuni! Kama Katiba ni mbaya kiasi kicho mbona hatujaona msukumo wowote wa vyama vya upinzani kutaka Katiba ibadilishwe? Wanasema tume ya uchaguzi siyo huru lakini kila wakati wanashiriki chaguzi zinazoendesha na tume hiyo hiyo na kwa kufanya hivyo wanaipa uhalali; wanasema CCM inaiba "kura" na kila ukija uchaguzi wanashiriki kushindana na CCM hiyo hiyo; wanasema CCM haiwezi kushinda bila ya kutumia vyombo vya dola na licha kujua hilo bado wanaenda kushindana!

they are not serious! Halafu wanataka tuwateremshie toka mbinguni masanduku ya kura ili wawe viongozi wetu wa kitaifa? You must be kidding me!
 
Mwanakijiji, Please don't hang on their neck! I you wish to give them a hand, please do! If you don't let them try.

we can not let people try to fail!

Yes Chadema ni wachanga, kama ilivyo kwa Daudi na Goliath, Chadema ni Daudi, CCM ni Goliath, I belive one day, with the help of God, Goliath will fall again!.

Mungu awape nini magunua ya fikra na mana ya mwamko wa mabadiliko? Mungu hatashuka kuwaongoza kuwaamsha wananchi! Ndio maana hata Yesu alimkatalia yule "Tajiri" alipotaka atumwe mtu toka kifua cha mzee Ibrahimu kwenda kuwahubiria watu; aliambiwa "wanao Musa na Manabii!"

Kwa hiyo kwa vile hakuna aliyelalamika that makes wrong move right? Kelele za nini kuhusu RA na Kagoda?. Nani amelalamika mahali zaidi ya kujaza bandwidth?.

well.. angalau tunajaza bandwidth lakini hatutaki kuongoza mamilioni ya watu; hatujafanya kitu cha kustahili hilo! so haven't Chadema!

Irelevant, glove gani itashindana na upanga wa makali kuwili, Chama Dola, na Dola Chama!

It is the nature of the beast! wanaona dola ni chama na chama ni dola, waandamane kupinga harusi hiyo haramu! They CAN NOT!

Ka walivyo chama chao, walionao pia ama bado wachanga, ama bado sio mahiri kiwango cha kujaribu kushika kwenye makali kugombea hicho kisu.

oh well!
 
RUZUKU ya kodi zetu tu inawagombanisha. Waongeze vitega uchumi patakalika kweli? Vipi ule mradi wa msg za simu umefikia wapi?
 
Sidhani kama mnaelewa the extent chama tawala kinakwenda kuhakikisha kwamba vyama vya upinzani vinashindwa kuanzisha chochote kile ambacho kinaonekana kutingisha hemaya yao. Na mkakati wao mkubwa uko katika kuhakikisha serikali haitupatii vibali. Nitakupa mfano rahisi kuhusu vibali ambao hauhusiani na mradi wa pesa lakini utakupa picha kamili. CHADEMA ilipokodi helikopta kwa mara ya kwanza kutoka Kenya, licha ya kuwa na vibali vyote, ilitakiwa iweke deposit ya bilioni moja na nusu cash, TRA Mwanza airport, ili iweze ku-operate hiyo chopper nchini. Walituambia mnaweza kupitiliza muda mliopewa kuwa nayo nchini au mkaamua kuinunua hivyo TRA inachukua tahadhari. Vilevile tulitakiwa tuwasilishe ratiba yetu katika kambi za jeshi na mbuga zote za wanyama na tusubiri wairidhie na kutupa vibali kwa kisingizio kwmba haturuhusiwi kuruka juu ya maeneo hayo. CCM ilipokodi helikopta kwa mara ya kwanza kutoka Kenya, helikopter hiyo ilikuwa inaruka juu ya anga la Kiteto kwa masaa kadha ndipo ilipopata kibali cha kuingia nchini. Yaani iliingia nchini na kuanza kufanya kazi kabla hata ya kupata clearance ya kuruka juu ya anga la Tanzania.

Kama Chadema imekopeshwa fedha kutoka kwa wafadhili wake wa ndani (wanachama n.k) je itazirudisha fedha hizo wakiwa madarakani?

CHADEMA haina mazoeya ya kukopesha pesa na kama inakopesha pesa basi mambo yote yanakuwa in public. Kimsingi imekopesha pesa mara moja tu na ni kwenye uchaguzi wa 2005. Kamati Kuu iliridhia chama kikopeshwe pesa na ilipanga ratiba ya jinsi fedha hizo zitakavyorejeshwa, mambo yote yalikuwa hadharani, kulikuwa hamna siri yoyote.

Wafadhili na wabunge huwa wanajitolea au wana "advance" chama hela. Na hii imetokana na mchezo wa Tume ya Uchaguzi kuchelewesha ruzuku kwa makusudi kabisa wakati wa chaguzi ndogo au wanaposikia CHADEMA inataka kufanya Mkutano Mkuu au kitu kikubwa kinachotumia pesa kama hicho. Ruzuku itacheleweshwa wiki mbili au tatu lakini CCM wao ruzuku inaingia kinyemela kwenye akaunti yao on time.

Hivi Chadema imeshindwa kuanzisha gazeti la wiki au la kila siku kama Uhuru or something au hiyo nayo ni "haliwezekani kwa sababu hatuna fedha"!?

Tulishajaribu tukanyimwa vibali. Hata hivyo kuchapisha magazeti kunahitajika pesa na hapo ni kama utapata mchapishaji atakayekubali kukuchapishia gazeti lako. Hata akitokea mmoja jasiri atatishwa mwisho wa siku mkataba ukiisha atakuacha solemba. Magazeti yanapata pesa kutokana na matangazo na sio mauzo. Angalia magazeti yanayoikosoa serikali kama ya Mwanahalisi, Tanzania Daima, Raia Mwema etc. yanavyo struggle kupata matangazo, sembuse gazeti la CHADEMA. Halafu angalia gazeti la Daily news lilivyojaa matangazo ambayo hata siyo matangazo ya Serikali na ujiulize ni kwanini? Kwa hali ilivyo sasa hili la kuwa na gazeti is a non-starter.

.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kama vilivyo vyama vingine bila ya shaka kimekuwa na mipango ya vitega uchumi ili kiweze kujiendesha na kufadhili shughuli zake mbalimbali bila ya kutegemea sana ruzuku au misaada ya wafadhili. Je, Chama hiki sasa hivi kina miradi gani kitega uchumi, yenye kuingiza faida gani, na inasimamiwaje? Au ndio "hatuna fedha ya kutosha, ruzuku yenyewe kidogo, na CCM wao wanajichotea mabilioni".

Je, Chadema imeweza kuanzisha sekondari moja ya Chama ikajionesha kuwa ni nzuri na ikashindanishwa na sekondari nyingine binafsi na za serikali?

Je, Chadema imeweza kuanzisha Kliniki au hospitali fulani ya Chama kwa ajili ya wananchi n.k

Je, Chadema imeshikiri vipi katika harakati za kusafisha jiji la Dar na kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kwa kutoa mafunzo n.k?

Je, Chadema imeweza kujenga jengo lolote ambalo ni la kisasa na wakaweza kulipangisha kama kitega uchumi?

Je, Chadema wameweza kuanzisha kampuni ya kibiashara ambayo iko chini ya Chama na kuonesha jinsi wanaweza kusimamia miradi hiyo?

Je, CHadema ina vitega uchumi vipi kama Chama vinavyoonesha uwezo wa kusimamia miradi, kupanga, na kudhibiti mapato na matumizi zaidi ya fedha zinazoingia kwenye chama kupitia michango, ruzuku na misaada?
Kwa kifupi kuna baadhi hapo yamefanywa na Chadema kupitia harakati zake mbalimbali, si lazima kujenga hata ukihamasisha utawala bora mahali fulani then serikali ikajenga shule au hospitali basi bila shaka umechangia...
 
Je, Chadema imeweza kuanzisha sekondari moja ya Chama ikajionesha kuwa ni nzuri na ikashindanishwa na sekondari nyingine binafsi na za serikali?

Mgombea ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda kupitia CHADEMA, Bwana Finias Magessa amenyimwa kujenga hosteli ya wanafunzi kwenye shule ya sekondari ya wasichana jimboni Busanda. Amebaki ameduwaa na mabati yake.

Vilevile kama engineer wa nishati alikuwa ana mpango wa kuwapatia watu wa jimbo lake umeme wa solar na kutengeneza majiko yanayotumia nishati mbadala ambayo ni cheaper na environmental friendly. Amenyimwa vibali na Wizara ya Madini na Nishati. Simply kwa kuwa CHADEMA watapata credit.

Je, Chadema imeweza kuanzisha Kliniki au hospitali fulani ya Chama kwa ajili ya wananchi n.k

Ndesamburo alinunua gari la wagonjwa akalitoa kama msaada kwa ajili ya Hospitali ya Mawenzi Moshi Mjini. Gari hiyo ilikaa zaidi ya mwaka mmoja halijapewa vibali vya kufanyia kazi.

Mifano iko mingi sana.
 
Re: CHADEMA na Vitega Uchumi Vyake vipi?
kwanza kiongozi wao aite press conference aweke wazi kuhusu huu uvumi unaoendelea kuwa alijaribu kununua cheti toka kwa yule jamaa aliyemuuzia lile gari

Mr. Game Theory,

Mbona unafuatilia sana vyeti vya Mh. Mbowe. Mtu anaweza kuanzisha jungu lake na likasambaa kila mahali. Hivi kweli hilo ni la kushupalia?. Wewe mbona hujaonesha CV na vyeti vyako.
 
Tumia simu yako ya mkononi upige no."15710" na ujumbe "CHADEMA" uone kama umechangia kweli.

Hata hivyo ni vizuri Makao Makuu ya Chadema wakatoa taarifa ni kiasi gani kimekwisha kusanywa.
 
Mgombea ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda kupitia CHADEMA, Bwana Finias Magessa amenyimwa kujenga hosteli ya wanafunzi kwenye shule ya sekondari ya wasichana jimboni Busanda. Amebaki ameduwaa na mabati yake.
amenyimwa na amekubali kunyimwa?

Vilevile kama engineer wa nishati alikuwa ana mpango wa kuwapatia watu wa jimbo lake umeme wa solar na kutengeneza majiko yanayotumia nishati mbadala ambayo ni cheaper na environmental friendly. Amenyimwa vibali na Wizara ya Madini na Nishati. Simply kwa kuwa CHADEMA watapata credit
.

wameshindwa nini kufanya civil disobedience? au wakinyimwa basi ndio imetoka hiyo? Mbona sijawahi (yawezekana zipo) kusikia kuna kesi imefunguliwa dhidi ya idara au wizara fulani kwa kuwanyima kile kilicho haki yao?

Ndesamburo alinunua gari la wagonjwa akalitoa kama msaada kwa ajili ya Hospitali ya Mawenzi Moshi Mjini. Gari hiyo ilikaa zaidi ya mwaka mmoja halijapewa vibali vya kufanyia kazi.

Pesa za Ndesa ndio za Chadema? nazungumzia Chama sizungumzii mtu mmoja mmoja. Kwani Tanzania Daima ni mradi wa Chadema?

Mifano iko mingi sana.

Ni mifano mfu.
 
amenyimwa na amekubali kunyimwa?

.

wameshindwa nini kufanya civil disobedience? au wakinyimwa basi ndio imetoka hiyo? Mbona sijawahi (yawezekana zipo) kusikia kuna kesi imefunguliwa dhidi ya idara au wizara fulani kwa kuwanyima kile kilicho haki yao?

Pesa za Ndesa ndio za Chadema? nazungumzia Chama sizungumzii mtu mmoja mmoja. Kwani Tanzania Daima ni mradi wa Chadema?

Ni mifano mfu.

Huyu mwanakijiji ameleta hoja,lakini hataki majibu.kila jibu linalotolewa hapa analipinga.Hebu tupe majibu yako tuone.km mtu amenyimwa kibali mshauri atumie njia gani kupata,na si kufoka mkuu..
 
Huyu mwanakijiji ameleta hoja,lakini hataki majibu.kila jibu linalotolewa hapa analipinga.Hebu tupe majibu yako tuone.km mtu amenyimwa kibali mshauri atumie njia gani kupata,na si kufoka mkuu..

aende mahakamani, aandamane, agome.. zipo nyia nyingi yaani mtu akinyimwa tu ndio mwisho wa dunia? Ni uongozi gani huu. HIvi hamjawahi kusikia kulikuwa na watu hapa wamenyimwa kukaa viti vya mbele kwenye basi na wengi walikubali hadi alipotokea Rosa Parks? Umeomba leseni umenyimwa unarudi nyumbani unalia wakati unajua masharti yote umetimiza?
 
Kuna kitegauchumi cha sisiem kilichoanzishwa toka 1992???
Kabla hujauliza fikiria vitagauchumi hupatikanaje, Kwa kupora mali za uma na kubibinafsisha chama tawala??
Mfano, Jengo la UV-CCM lilijengwa mwaka gani, na akina nani? Sasa ni mali ya nani?
usiichague CHADEMA, chagua mtu atakayerudisha Mali za chama tawala serikalini!!
Goodmorning
 
Back
Top Bottom