CHADEMA na wanaharakati, enzini mazuri ya watu kama Magufuli na Samwel Sitta

Yuda Iskariote

New Member
Joined
Jun 4, 2026
Posts
4
Reaction score
4
Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.

Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.

Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu uhuru wa mijadala na mawazo mdadala ndani ya Bunge alilopata kuliongoza

Natanguliza shukrani!

Idumu Chadema na CCM oyeee!
 
Pamoja na ubinadamu wao wataendekea kukumbukwa.
 
Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.

Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.

Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu uhuru wa mijadala na mawazo mdadala ndani ya Bunge alilopata kuliongoza

Natanguliza shukrani!

Idumu Chadema na CCM oyeee!
Muasisi wa utekaji, biashara ya kununua wapinzani, double standards etc.
 
Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.

Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.

Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu uhuru wa mijadala na mawazo mdadala ndani ya Bunge alilopata kuliongoza

Natanguliza shukrani!

Idumu Chadema na CCM oyeee!
Samuel Sitta alihujumu mchahato wa katiba mpya.
Magufuli alikuwa kiongozi dhalimu na muuaji na ndiye role model wa Samia Suluhu aliyeua vijana wetu mwishoni mwa mwezi October 2025
 
Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.

Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.

Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu uhuru wa mijadala na mawazo mdadala ndani ya Bunge alilopata kuliongoza

Natanguliza shukrani!

Idumu Chadema na CCM oyeee!
Huyo Magufuli na Samwel Sitta wao walieyaenzi mazuri ya Cdm?
 
Back
Top Bottom