Yuda Iskariote
New Member
- Jun 4, 2026
- 4
- 4
Muasisi wa utekaji, biashara ya kununua wapinzani, double standards etc.Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.
Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.
Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu uhuru wa mijadala na mawazo mdadala ndani ya Bunge alilopata kuliongoza
Natanguliza shukrani!
Idumu Chadema na CCM oyeee!
Samuel Sitta alihujumu mchahato wa katiba mpya.Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.
Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.
Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu uhuru wa mijadala na mawazo mdadala ndani ya Bunge alilopata kuliongoza
Natanguliza shukrani!
Idumu Chadema na CCM oyeee!
Huyo Magufuli na Samwel Sitta wao walieyaenzi mazuri ya Cdm?Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.