Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Habari!
Natoa wito kwa viongozi wa CHADEMA na wanaharakati wa haki za binadamu na wadau wengine kuanzisha michango kusaidia familia ya Mdude katika kipindi hiki ambacho hatima ya Mdude bado ni kitendawili.
Huyu Bwana alitoa maisha yake kupambania Taifa hili na watu wake na pia alikuwa ni mwanaharaki wa haki za binadamu kama sikose. Hivyo, na sisi kama Taifa na kama watanzania, ni wazi tuna deni kwake..
Kwa msingi huo, natoa wito tumshike mkono mwenzetu huyu kwa kusaidia familia yake kipindi hiki ambacho hatujui kama bado yupo hai au ameshauwawa baada ya kutekwa nyumbani kwake siku 2 zilizopita.
Tusiishie kusikitika, kuumia, kulaani na kutoa pole tu, bali twende zaidi ya hapo kwa kumsaidia mkewe mwenye mtoto mdogo anaehitaji malezi ya baba.
Nawasilisha.