Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broda, unaongelea busara gani zaidi ya ile ya kuwajulisha kuwa wamekosa, na kuwataka waombe msamaha, lakini wao kukaidi? Kwani hujui kuwa kwa busara iliyotumika kuna wenye akili zao walioamua kujirudi na kukiri kwenda kinyume na Uongozi?wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
Kwani wewe umerogwa na nani mpaka ukaleta hii crap hapa??wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
Kwa mara ya pili, SweetLady umenichakachua tena jana!...Lakini nakusamehe!Kwani wewe umerogwa na nani mpaka ukaleta hii crap hapa??
Nashukuru kwa msamaha!..lol...Kwa mara ya pili, SweetLady umenichakachua tena jana!...Lakini nakusamehe!
Huyu jamaa bado hajaeleweka!...WANAOKUSANYA NGUVU NI AKINA NANI? Kama anaongelea magamba ni kwamba wanakusanya nguvu za kutimuana....
Nadhani ameamua kujifurahisha jukwaani tu huyu!
Utaendelea kuwa hivyo mpaka utakapoacha kutumia tumbo kufikiria.wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
<br />wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
<br />Utaendelea kuwa hivyo mpaka utakapoacha kutumia tumbo kufikiria.