ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1. Ajira - Hivi inawezekanaje taifa kubwa kiuchumi inashindwa kuajiri watoto wake angalau hata ajira mpya za kiutumishi walau hata 20000.noma sana maumivu yapo wanafunzi hawana tena mwamko wa elimu wanapoona kaka zao wamesoma mpaka udaktari na hawana kazi. Chadema mje na sera ya kuwapaje watu ajira ili elimu iwe na thamani tena.
2. Madawa ya kulevya - Bado askari baadhi wanapokea rushwa na kuwaficha wanaowajua ndo maana bangi zimezidi mitaani karibu robo ya watu wanavuta bangi wakati sheria inasema hairuhusiwi kuvuta bangi. Chadema wataitisha kura ya maoni bangi ziruhusiwe au zikatazwe rasmi kama mifuko ya rambo ilivyokatazwa.
3. Viwanda - Bado kuna mikoa sijaona viwanda kwa mfano singida kuna kiwanda gani kimejengwa cha kuajiri watu hata 1000.chadema mtakuja na mkakati wa viwanda vikubwa kila kanda inashughulikiwa kwa miaka 3 tunahakikisha pesa kibao zinamwaga kujenga viwanda vikubwa kanda nyingine itafuata baadae.
4. Pombe kali - Pombe kali zipigwe marufuku zinaharibu familia na maisha yanakuwa mabaya kwa sababu madukani kumejaa pombe kali za sh. 2000. Mnazidi kuua uzazi wenu wenyewe bila sababu za msingi. Serikali ya Chadema ifungie hio biashara ya pombe kali ikiwemo gongo.
5.kamari-nchi inayokuwa na huru kama hii haina sababu za kuwaruhusu wachina wamwage madubwi yao mitaani kwa maskini na wanyonge na wajinga
6.tumeshatawaliwa na rais magufuli sasa tutafute mwingine ambaye atayaathiri maisha yetu vizuri wenyenchi tuwe na hela walau hata suruali za dukani tununue.