Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Hamjambo wote Bila Shaka.
Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki.
Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa tuu.
Sasa kumbe CHADEMA kulikuwa na mfumo wa kulindana na kufichiana maovu. Kwamba ukiona Rushwa au Ufisadi ukifanywa na CHADEMA mwenzako unatakiwa kumezea, au Kule kwetu Upareni wanasema "Vikia Kabwe" yaani Wekea kajiwe.
Mfumo huohuo ndio haohao CHADEMA wanalalamikia kuwa CCM wanalindana kwenye maovu. Kwamba ukifanya kosa labda la Rushwa au Ufisadi alimradi wewe ni CCM huwezi kutwa na Mkono mchungu na uliokakamaa wa Dola.
Leo hii, Baadhi ya Wanachadema hawataki Lisu aseme maovu ya chama chake ati kisa yanafanywa na baadhi ya viongozi wenzake. Wengine wanasema anatoa tuhuma bila Ushahidi
Utadhani hao CHADEMA wakitoaga shutuma Zao kwa CCM wanatoaga na ushahidi.
Mtanange huu Mpaka 21 January CHADEMA itakuwa uchi kabisa.
Tofauti na zamani, Zama hizi vijana wengi na watu wengi wanautambuzi, vijana wenye Elimu ya kidato cha nne ni wengi Sana. ELIMU hiyo itawasaidia kujua mbivu na mbichi.
Kwako Tlaatlaah