Mh. Samia alisema tumwachie hao chadema anajua mahitaji yao naona anaendelea kuwapatia hahahaha mama anakili sana za kuwahendle wanaume wajinga hahahaHata chadema walisema hawaitambui serikali lakini kila kukicha wanakunywa chai ikulu .uhuru wa maoni!
Kwahio? Shida Nini kukufukuta?? Kunakusaidia kitu chochote??Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....
Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....
Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,
Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet
View attachment 2233594
Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali
Naendelea
Kumbe na wewe takataka! Nilikuwa nakupa heshima ya high power reasoning man , kumbe ni sawa na Kabudi!Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....
Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....
Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,
Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet
View attachment 2233594
Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali
Naendelea
Chadema ilishakufa limebaki jina tu na majina ya baadhi ya viongozi,sio chadema Ile ya akina Ndesapesa,slaa na mbowe yule wa zamani sio mbowe huyu wa Leo,zitto wa zamani sio huyu zitto wa Leo,Wanafanya kama Mandela na makaburu
Jitu takataka kabisa, nilikuwa nalipa daraja la juu JF kama mtu wa kutoa hoja, kumbe ni CCM na ubongo uko wiziHaya uliyoandika ni matamanio ya kila mwanaccm. Na hicho unachoita kufukuta sisi kwetu tunaita kutofautiana mitazamo, jambo ambalo ni afya kwa taasisi yoyote. Ukikuta taasisi inakubaliana kwa kila kitu ujue kuna wengine wamechoka kufikiri. Hilo moja
Huyo Msigwa anaweza kuongea lolote, hata anaweza kwenda chama chochote akitakacho maana ni muda sasa anatamani hilo, ila anakosa sababu nzuri ya kumtoa kwani amelazimisha kuweka mazingira ya kufukuzwa lakini hafukuzwi ili unafiki wake ukae peupe. Hiyo bahasha ya Mbowe iliyojaa kuliko wenzake imekuwaje wakati ikulu sio nyumba ya biashara, hapo ni kama unaichafua hiyo ikulu japo unaona umekuja na bonge la hoja. Ni hivi acha utoto wakati ww ni mzee sasa.
Wafukutane tuu ndio vizuri,kwanza Wana faida gani zaidi ya kuleta vurugu Nchini tuu?Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....
Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....
Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,
Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet
View attachment 2233594
Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali
Naendelea
Asante kwa taarifaNasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....
Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....
Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,
Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet
View attachment 2233594
Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali
Naendelea
Upinzani unakufanya usilale? @BritanicaNasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....
Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....
Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,
Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet
View attachment 2233594
Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali
Naendelea
KUIPINGA SERIKALI KUPO PALEPALE WAONGEE AU WASIONGEE KWANI WAKATI WA JK MBONA WALIONGEA NA UPINZANI DHIDI YA SERIKALI ULIKUWEPO ACHENI UNAFIKINasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani,
mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea hakuhofia usalama....
Uchaguzi umeisha tu huyooo anakimbia eti usalama mara ushageuka kuwa mbaya kumbe anakimbilia $6000 kwa mwezi Belgium zinazolipwa na shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa akiwa aa premium package....
Sasa Mbowe akaona isiwe tabu na mimi kabla CHADEMA haijawa kama ilivyokuwa NCCR na CUF vilipopanda na kushuka na huku Mbowe akikiona kabisaaa ACT kikihatarisha kuchukua nafasi ya Chama kikuu cha upinzani na CHADEMA Kufa KAMA NCCR na CUF...Mbowe Kaona BORA TU AWE UPande wa kupata chochote, bahasha ya mbowe jana ilikuwa nono kuzidi wajumbe wengine,
Msigwa alipanga aongelee Suala hili akapigwa beat akafuta tweet
View attachment 2233594
Lema na Lissu hawakubaliani kabisa na msimamo wa Mbowe Kwenda kuonana na Samia wakiamini watapoteza nguvu ya kuipinga serikali
Naendelea
Classmate!!! Chuki Yako haiwezi kusaidia lolote huyo ibilisi wenu keshazikwa analiwa na funza tu, siasa za visasi zimeshazikwa na SSH.Mama kafungua nchi! Rangi yetu halisi imeanza kuonekana
Hii inaitwa kufilisika kisiasa, lakini ukenda mbali zaidi ni kufilisika kimawazo.Classmate!!! Chuki Yako haiwezi kusaidia lolote huyo ibilisi wenu keshazikwa analiwa na funza tu, siasa za visasi zimeshazikwa na SSH.
Ni aibu kuona Mzee mzima unashabikia migogoro as if itasaidia lolote taifa letu.
Kwanini unapenda sana vita vya ukabila nduguVyama vyote hivyo ni vya wachaga...wanagombania ulaji tu hakuna kingine