wana JF mimi nimeelezwa kuwa hii post ni mzaha tu,wala haimaanishi hivyo ilivyo.
tatizo ni kwamba mzaha umekuja ktk mazingira ambayo watu wapo hot sana na inakuwa ngumu kuubeba mzaha ktk wakati huu
nacho hofia ni jinsi watu watakavyo ubeba mzaha huu ktk vichwa vyao na kibaya zaidi mzaha wenyewe umeandikwa hadi ktk gazeti
nadhani viongozi wa CDM na wanachama wake wawe macho na waandishi wa namna hii,kwani mwisho wa siku ni kuharibu jina la chama kwa njia ya mzaha