CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari

CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari

kama ni hivyo CHADEMA ndiyo iliyomficha Balali USA na Kushawishi Ununuzi wa RADA, toka hapo choka mbaya MAJSHO punguza povu!!!
 
hahaaa nimeisoma hiio makala kwenye tanzania daima nimecheka vibaya sana...hahaaaaa mhariri kweli kanifurahisha sana lkwa jinsi alivyo creative ....in a way hili ni bonge ya dongo kwa serikali na chichiemu
 
wana JF mimi nimeelezwa kuwa hii post ni mzaha tu,wala haimaanishi hivyo ilivyo.

tatizo ni kwamba mzaha umekuja ktk mazingira ambayo watu wapo hot sana na inakuwa ngumu kuubeba mzaha ktk wakati huu

nacho hofia ni jinsi watu watakavyo ubeba mzaha huu ktk vichwa vyao na kibaya zaidi mzaha wenyewe umeandikwa hadi ktk gazeti

nadhani viongozi wa CDM na wanachama wake wawe macho na waandishi wa namna hii,kwani mwisho wa siku ni kuharibu jina la chama kwa njia ya mzaha
 
Ni kweli CDM ni watu wabaya sana, wamekausha hazina matokeo yake JK analazimika kwenda ughaibuni kila kukicha kutembeza bakuli.
 
Sawa Mkubwa umesomeka na kumbe kinyume chake ni ukweli mtupu
 
Mbona mtoa mada anaongea kinyume nyume? wenye mtindio wa akili tumefahamu theme!
 
aisee nimecheka sana mkuu........... between the line una hoja kinyume chake lol......asante mzee MAJASHO
 
Ni hao CDM wanapanga ratiba za RAHISI wetu kwenda UGAIBUNI ,Sasa safari ya 321.CDM wamesabisha serikali kudaiwa na walimu zaidi ya Billion 50.Chadema wamemshinikaza SPIKA kutaja ongezeko la posho za wabunge.CDM noma wameishinikiza SERIKALI kuazimisha miaka 50 kwa kutumia billion zaidi ya 50.Kweli nyie CDM Nooooma
 
Migomo iliyokuwepo before hata Chadema kuja juu bado ni wao walikuwa wanaisababisha?? na kweli kama ni wao basi serikali imeshikwa pabaya na mtandao wa Chadema...kwa nini madaktari wawasikilize Chadema? there is a reason behind
 
Hata mafuriko walisababisha CHADEMA ili nchi isitawalike.
 
Kama chadema ndio imesabanisha mgomo si wawapelekee maji ya kuwasha? Maana ndio huwa solution yao.
 
Hii inamaanisha zile kura mlizopata hazikuwa halali...kwa nn wafanyakazi watii serekali isiyokuwa madarakani....
 
Tutakuja kuuana kwa presha wewe kwa thread za hivi!!Anyway ujumbe umefika.
 
Du kama ndio hv basi chadema ndio watawala,mana kama wana uwezo wa kushawishi kila mtu na akakubali,so what mean mkuu.....????
 
Pia msisahau ipo siku tutaambiwa kwamba Chama Chetu kitukufu cha Chadema ndio wanaosababisha vifo vinavyotokana na ajali za barabarani
 
Thanks for this. Ukisoma kwa jicho la tatu utaelewa anamaanisha nini katika hii habari yake. kila kitu kiko wazi, ukisoma kwa uvivu utafikiri anatukana CDM.
 
Kama kuna mkono wa siasa kwenye mgomo huo, basi ni khatari kubwa sana kwa nchi .
 
Back
Top Bottom