Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Hii thread ilikuwa tamu sana
Imefahamika, kumbe TanzaniaDaima ndiyo waliocopy habari hii neno kwa neno kutoka kwa mwana JF na hawakusema source!!Mkuu mleta thread; ni vizuri unapo-copy na ku-paste kazi za watu uka-acknowledge source. Hii post yako ume-copy neno kwa neno toka Gazeti la Tanzania Daima la leo 29th January 2012. Plagiarism haikubaliki tena ni ufisadi kama ufisadi mwingine; just acknowledge tu source inatosha.
"Habari" yenyewe hii hapa: CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari