jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kwani walikuwaje huko nyuma? Kama ambavyo unawashauri chadema wawe upande wao ili wawaunge mkono ndivyo ambavyo walikuwa upande wa aliyewaunga mkono kipindi hiko.Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki.
Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni Makala na CCM ndipo shoka litapowaka na mpini kubaki.
Narudia tena, msijali walikuwaje huko nyuma...
Waanze kupoteza na watu?Chadema watembee na jpm tu wataungwa mkono na watu 85% na hiyo ndo big kick
GoodBila Katiba mpya na tume huru ni bure tu.
GoodSisi tunajikita na Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi.
Kazi mnayo!Sisi tunajikita na Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi.
Hata Abdulwahid Sykes na Nyerere waliambiwa hivyohivyo.Kazi mnayo!
Acha wavune walichopanda hawa mazuzu.Bodaboda, machinga na bajaji ni wajinga sn kipindi cha kampeni wakiruhusiwa ndani ya miezi 3 wanasahau shida zate.
Ni wajinga snAcha wavune walichopanda hawa mazuzu.
Kuna watu wajinga na wapumbavu Zaid ya Chadema na nyumbu wao nchi hii?Ni wajinga sn
Laana ya CCM inakutafuna snKuna watu wajinga na wapumbavu Zaid ya Chadema na nyumbu wao nchi hii?
We miaka Zaid ya saba umtukane mtu fisadi,then unamchukua unampaka mafuta anapendeza Kisha unatuletea ndo Mgombea wenu wa Urais.
Nyinyi ni fyekero nchi hii,ndo Mana mmebaki mitandaoni kutwa kutukana na kulalamika tu.
Hawa ni washabiki tu. Kwanza hata kura hawapigi. CDM wanatakiwa kujijenga vijijini kwa wakulima na wafugaji.Bodaboda, machinga na bajaji ni wajinga sn kipindi cha kampeni wakiruhusiwa ndani ya miezi 3 wanasahau shida zate.
Haya zungusha zungusha,Mabadiliko,!!!!!!Dada angu acha hizo
Kweli tupuHawa ni washabiki tu. Kwanza hata kura hawapigi. CDM wanatakiwa kujijenga vijijini kwa wakulima na wafugaji.
Sister bhana unanichekesha snHaya zungusha zungusha,Mabadiliko,!!!!!!
Zungusha zungusha