CHADEMA nendeni na wamachinga na bodaboda mtanikumbuka baadaye

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki.

Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni Makala na CCM ndipo shoka litapowaka na mpini kubaki.

Narudia tena, msijali walikuwaje huko nyuma.
 
Ndilo kundi linalonyanyasika sana kipindi hiki.

Nyinyi msijali walikuwaje bali jalini mailage ya kisiasa.Hawa ndiwo watu wanaotegemewa hadi na wajomba zao huko kijijini kuwatumia elfu 5 kila wapatapo sasa wakiikosa ya kuwatumia huko kijijini lazima nao huko waelewe mchawi wa elfu 5 yao ni Makala na CCM ndipo shoka litapowaka na mpini kubaki.

Narudia tena, msijali walikuwaje huko nyuma...
Kwani walikuwaje huko nyuma? Kama ambavyo unawashauri chadema wawe upande wao ili wawaunge mkono ndivyo ambavyo walikuwa upande wa aliyewaunga mkono kipindi hiko.
 
Ni wajinga sn
Kuna watu wajinga na wapumbavu Zaid ya Chadema na nyumbu wao nchi hii?

We miaka Zaid ya saba umtukane mtu fisadi,then unamchukua unampaka mafuta anapendeza Kisha unatuletea ndo Mgombea wenu wa Urais.

Nyinyi ni fyekero nchi hii,ndo Mana mmebaki mitandaoni kutwa kutukana na kulalamika tu.
 
Laana ya CCM inakutafuna sn
 
Machinga ni wale wanaotembea na mizigo yao mkononi. Hao wanaojipanga barabarani ni wakwepa kodi. Kila mtu lazima awajibike kwenye kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom