CHADEMA ni chama chenye nguvu na dira thabiti ya kumkomboa mnyonge barani Africa

Kama mwenyekiti wake analipwa deni hewa. Ambalo alijikopesha kwa mdomo. Je mkipewa dola si atahamisha pesa zote Uswisi
Thibitisha una uhakika CAG angeliona kwasababu ni nopo la ma proffesional auditing
Zingine ni propaganda ama siasa za maji taka
 
Wanakuambia hii ni CCM Mpya inayotekeleza maono ya Hayati Mwl Nyerere RIP Baba yetu.
Wanaigiza yaliyopita katika zama Mpya.Eti kuhamia Dodoma,Mara HydroPower Dam wakati tuna Natural Gas ya kutosha,Coal ya kumwaga,Wind,Geothermal,Uranium even Oceanic currents.Maybe we are bunch of fools and total idiots to be poor country.
CCM pisheni tuone Watanzania wengine watuongoze.Umaskini wa nchi hii ni man made na hakuna mwingine ni nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…