PreGE2025 Chadema ni chama kinachoongozwa kutajwa midomoni mwa watu. Ni kweli kumbe ni chama kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Humu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu.

Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema
2. Lissu
3. Mbowe

Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai wenyewe wa Chama. Hata Mikutano ya CCM huwezi sikia wanataka ATC wazalendo wala CAF au NSCR.

Kuna watu maalum wamewekwa humu wao wakishtuka usingizini ni Lissu,Chadema. Ndo kwa siku wakaoneshe wameanzisha nyuzi ngapi kuhusu Lissu na Chadema.

Hawa utawaonea huruma maana wanaonesha kuwa na maisha magumu na sasa inabidi wapambane kuikuza chadema kila wakati. Sikuwa najua Chadema inaweza kuwa kubwa hivi. Huyu Lissu ni game changer ameirudisha Chadema midomoni mwa watu kwa kasi sana
 
Kuna watu wanaishi kwa posho za nyuzi za kuishambulia Chadema,ni kama trafiki kupangiwa aje na faini kiasi Fulani jioni ,ndio hapo ujue barabarani nini kitatokea
 
Ndio chama pekee chenye jeuri ya kugomea mifumo kandamizi ya Utawala.

Ukiwa goi goi huwezi kupata Guts za namna hii
 
Kuna watu wanaishi kwa posho za nyuzi za kuishambulia Chadema,ni kama trafiki kupangiwa aje na faini kiasi Fulani jioni ,ndio hapo ujue barabarani nini kitatokea
😅😅😅mwaka huu kwenye uchafuzi wao sijui watamshambulia nani?

Hivi wale wasanii watabebwa tena kwenye kampeni? Kwanza kampeni dhidi ya nani
 
Ngoja tuone,hawa jamaa hawaishiwi maajabu😀
 
Humu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu.

Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema
2. Lissu
3. Mbowe

Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai wenyewe wa Chama. Hata Mikutano ya CCM huwezi sikia wanataka ATC wazalendo wala CAF au NSCR.

Kuna watu maalum wamewekwa humu wao wakishtuka usingizini ni Lissu,Chadema. Ndo kwa siku wakaoneshe wameanzisha nyuzi ngapi kuhusu Lissu na Chadema.

Hawa utawaonea huruma maana wanaonesha kuwa na maisha magumu na sasa inabidi wapambane kuikuza chadema kila wakati. Sikuwa najua Chadema inaweza kuwa kubwa hivi. Huyu Lissu ni game changer ameirudisha Chadema midomoni mwa watu kwa kasi sana
JF ndio makao makuu yao, siasa za jukwaani hawawezi, yako km misukule na kura hawapigi
 
Mambo matatu hayawezi kufichwa kamwe: JUA,MWEZIi, na UKWELI.

Ukweli ni kwamba chadema ya lissu ni tishio, kesi, polisi, utekaji vinatumika kupunguza nguvu.
Ukweli ni kwamba lissu ni tishio kwa yukle shetani mwanamke!
 
Back
Top Bottom