Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Ndio chama pekee chenye jeuri ya kugomea mifumo kandamizi ya Utawala.Humu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu.
Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema
2. Lissu
3. Mbowe
Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai wenyewe wa Chama. Hata Mikutano ya CCM huwezi sikia wanataka ATC wazalendo wala CAF au NSCR.
Kuna watu maalum wamewekwa humu wao wakishtuka usingizini ni Lissu,Chadema. Ndo kwa siku wakaoneshe wameanzisha nyuzi ngapi kuhusu Lissu na Chadema.
Hawa utawaonea huruma maana wanaonesha kuwa na maisha magumu na sasa inabidi wapambane kuikuza chadema kila wakati. Sikuwa najua Chadema inaweza kuwa kubwa hivi. Huyu Lissu ni game changer ameirudisha Chadema midomoni mwa watu kwa kasi sana
😅😅😅mwaka huu kwenye uchafuzi wao sijui watamshambulia nani?Kuna watu wanaishi kwa posho za nyuzi za kuishambulia Chadema,ni kama trafiki kupangiwa aje na faini kiasi Fulani jioni ,ndio hapo ujue barabarani nini kitatokea
Ngoja tuone,hawa jamaa hawaishiwi maajabu😀😅😅😅mwaka huu kwenye uchafuzi wao sijui watamshambulia nani?
Hivi wale wasanii watabebwa tena kwenye kampeni? Kwanza kampeni dhidi ya nani
JF ndio makao makuu yao, siasa za jukwaani hawawezi, yako km misukule na kura hawapigiHumu JF hakuna Chama kinatajwa kwa siku kama Chadema. Yaani kuna watu mpaka kwa siku wanaanzisha nyuzi 5 hadi 10 kuhusu Chadema na Lissu.
Kisha anafuatiwa kutajwa Mbowe. Namba 1. Chadema
2. Lissu
3. Mbowe
Hii inaonesha ukubwa na ugumu wa hiki chama kufa. Maana kutajwa tajwa huko ndo uhai wenyewe wa Chama. Hata Mikutano ya CCM huwezi sikia wanataka ATC wazalendo wala CAF au NSCR.
Kuna watu maalum wamewekwa humu wao wakishtuka usingizini ni Lissu,Chadema. Ndo kwa siku wakaoneshe wameanzisha nyuzi ngapi kuhusu Lissu na Chadema.
Hawa utawaonea huruma maana wanaonesha kuwa na maisha magumu na sasa inabidi wapambane kuikuza chadema kila wakati. Sikuwa najua Chadema inaweza kuwa kubwa hivi. Huyu Lissu ni game changer ameirudisha Chadema midomoni mwa watu kwa kasi sana
Inalipa lknAK47 1 bei nikama usd 36 + 1 magazin
Yagangwe yaliyopita kwa kuwa yanatuhusu