CHADEMA ni chama kitakatifu kinachonajisiwa na wanaokitumia vibaya

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya Ugavana wa benki kuu.

Walianzisha CHADEMA lakini sidhani kama walikuwa wanajua kuwa iko siku chama chao kingekuja kuongozwa na Mange Kimambi na Maria Sarungi kusababisha vurugu zilizozaa uharibifu na mauaji makubwa ya watanzania.

Kwenye dini ya kiislam kama mtu amekufa na kuacha kitu (amali) kinachosababisha maovu, hasara au vifo au vyote kwa pamoja kwa waliohai mali hiyo ni mbaya kwake hata kama yeye amekufa.

Ndugu wa Mtei, Bob, Mapalala na wengine walioanzisha chadema kirudishieni heshima na hadhi yake chadema kwa manufaa ya waasisi wake.
 
Siasa ni sayansi,
sasa inapoingiliwa na vibwengo hasa wasio jua hilo, nadhani kinazalishwa kitu kingine ambacho ni tofauti kabisa na siasa.

In fact ndio chadema ilikofikia sasa 🐒
 
chadema imetekwa. Hata Godless Lema hajui kiko wapi.
 
Back
Top Bottom