MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
Imetokewa na:
KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA
Dar es Salaam, Agosti 28
Leo tumesikitishwa sana na mwendelezo wa CHADEMA kukiuka uhuru wa habari, dhana muhimu katika haki za binadamu.
Kitendo cha kuwafukuza waandishi aa TBC ni mwendelezo wa CHADEMA kuwakandamiza na kuwazuia wanahabari kufanya kazi zao kwa uhuru. Hii ni karibu mara ya nne nasikia CHADEMA wakifanya hivyo.
Sisi wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tumesikitishwa sana na hali hii na tunawataka wapenda amani kote duniani kulaani hali hii vikiwemo vyombo vya habari na vyama vya wanahabari wenyewe