Uchaguzi 2020 CHADEMA ni hatari kwa Uhuru wa Habari

Uchaguzi 2020 CHADEMA ni hatari kwa Uhuru wa Habari

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
305
Reaction score
728
Imetokewa na:

KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA

Dar es Salaam, Agosti 28

Leo tumesikitishwa sana na mwendelezo wa CHADEMA kukiuka uhuru wa habari, dhana muhimu katika haki za binadamu.

Kitendo cha kuwafukuza waandishi aa TBC ni mwendelezo wa CHADEMA kuwakandamiza na kuwazuia wanahabari kufanya kazi zao kwa uhuru. Hii ni karibu mara ya nne nasikia CHADEMA wakifanya hivyo.

Sisi wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tumesikitishwa sana na hali hii na tunawataka wapenda amani kote duniani kulaani hali hii vikiwemo vyombo vya habari na vyama vya wanahabari wenyewe
 
Tunashukuru kwa maoni yenu tutayafanyia kazi tukiingia ikulu na kuweka usawa

Ila kwa sasa mtuache kidogo tupo bize na mambo muhimu zaidi, tupo stage ya toa wembe nitoe kisu
SASA BAAASI
 
Walichokifanya ni kitu cha hovyo kabisa,wanajifanya wanatafuta haki huku wanazira zira kama watoto na kutukana hovyo badala ya hoja za msingi na kuwaambia wananchi watawafanyia nini
 
Achaa ngonjera zisizokuwa na silabi.
Yaani.Leo.TBC ndio wanaona umuhimu wa matangazo! Tuacheni dhihaka kwa maisha ya MTaanzania wa leo.
 
Eti kizazi cha kuhoji.....hii ndio nini..
Ila Tanzania ina watu wapumbavu sana.
Hata Mimi ningekuwa Freeman ningewafukuza hao TBC..
Hauwezi kuwapangia wananchi wasikilize nini.....TBC ni hovyo sana
 
Walichokifanya ni kitu cha hovyo kabisa,wanajifanya wanatafuta haki huku wanazira zira kama watoto na kutukana hovyo badala ya hoja za msingi na kuwaambia wananchi watawafanyia nini
Unasubiri ufanyiwe na wanasiasa wewe ni mtu bogus sana
 
Ushenzi wa TBC hamkubaliki popote. Leo tutaona Kama watafanya ujinga huo kwenye kampeni za Magufuli
Nini maana ya haki ya vyombo vya habari? unawezaje kuwa na haki ilhali unapangiwa cha kufanya? kwa nini muwapangie?
 
TBCCM ni hatari zaidi kwa uhuru wa habari. Yaani kwa mchezo waliokuwa wanafanya kama ingekuwa ni matangazo ya mechi walikuwa wanarudi studio kwenye uchambuzi pale timu pinzani inaposhambulia.

Wahenga walisema ukimchekea nyani, utavuna mabua na mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe.
 
Akili finyu na mawazo dhaifu. Umebeba mzigo siyo kichwa.
 
Kama CDM wangekuwa wamefanya jambo la kipuuzi hivyo ungeishia kuungwa mkono na hao maafisa vipenyo wenzio tu?
 
Back
Top Bottom